Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Matapeli nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matapeli nyie
100%Alizikwa wapi? Nani alihudhuria mazishi yake? Msiba ulikua wapi? Waliaga mwili? Wameenda alipozikwa kujionea nini kinaendelea?
Story za Uchawi huwa na loopholes nyingi sana zinazohitaji common sense ndogo tu kung'amua ndo maana nasema wanaoamini Uchawi ni watu wajinga na maskini.
PolisiVipo
Humu ni mwendo wa codeFafanua basi
Wachawi nchi hii ni wapumbavu.Daaaa! Tanzania hii jaman? Yaan wanaroga wasio na hatia badala ya kuroga matapeli na mafisadi ya chama cha maigizo (CCM)
Apo bado jichanganye tn ujikute uko chooni USO umeelekeza tundu la choo itapendeza soko nne anaijua iyoKabisaa😅
Wanted kwa jambo lipi, la watu wa kigoma kufufuka?Umesha wekwa kwenye WANTED YA NAPE!
🤣🤣sanaa tuu.Naona kigoma watu wanapewa option ya pili ya kuishi after death wanainjoi sana😃
Acha uchawi mnatesa wenzenu afu unakuja kuaminisha watu ujinga ili msigundilike.Uongo, Ujinga, Uzushi, Umbea
Hakuna sehemu inaongoza kwa ushirikina Tz hii kama Dar Es Salaam.Kigoma, rukwa iringa, Kuna ushirikina sana.
Kwamba unamkatalia kamanda wa police wa mkoa?Alizikwa wapi? Nani alihudhuria mazishi yake? Msiba ulikua wapi? Waliaga mwili? Wameenda alipozikwa kujionea nini kinaendelea?
Story za Uchawi huwa na loopholes nyingi sana zinazohitaji common sense ndogo tu kung'amua ndo maana nasema wanaoamini Uchawi ni watu wajinga na maskini.
Ndiyo huyu hapo kafufuka sasa, unakataa??Tuanze na wewe
Unakubali mtu aliyekufa anaweza kufufuka?
Kwamba unamkatalia kamanda wa police wa mkoa?
Kwamba ndugu waliothibitisha ndugu yao kufariki akiwa anajifungua na kumzika mpaka kumtambua akionekana kuwa hai ni wajinga?
Wanadanganya au?
View: https://www.youtube.com/watch?v=GsSlX7zEvAM&lc=Ugwer6udSg9RTzRo8Nt4AaABAg.9yCgCVuqlkp9yESOOvTzg_
Video hiyo hapo ya kamanda wa polisi Kigoma at 0:50 anasema hajafufuka. Leta wewe uthibitisho wako wapi kamanda kasema mtu kafufuka.
Mahojiano ya ndugu umeona wapi? umeonyeshwa alipozikwa? Wamefika makaburini alipozikwa na kuona nini kinaendelea? Leta uthibitisho wa haya which is fairly simple kabla sijakubana kwenye uthibitisho wa imani ya kijima ya ushirikina.
Kwanza naomba video ya kamanda, mimi nimekupa anayosema mtu hajafufuka.
Mimi sijasema mambo ya kufufuka, hayo umeyaleta wewe.
Mimi nimeongelea mtu aliyefariki na kuzikwa miaka mitano iliyopita kuonekana akiwa hai.
Of which kamanda wa police hajakanusha, in facts anathibitisha kuwa ni kweli mpaka picha zake umewekewa.
Sasa unataka uthibitisho gani mwingine?
Unajua kusoma kwa ufasaha kweli mkuu?Hakuna sehemu kamanda kathibitsha mtu kufufuka. Wewe unatoa wapi sehemu kamanda anayothibitisha mtu kufufuka? At 0:50 anasema clearly kabisa hajafufuka.
Umeona wapi mahojiano ya ndugu zake? umeonyeshwa alipozikwa?
mwanza haina matukio makubwa ya USHIRIKINA.. Tiketi imebaki kwa Shy kwa Kanda ya Ziwa
Unajua kusoma kwa ufasaha kweli mkuu?
Msingi wa hoja yangu ni mtu aliyefariki miaka mitano iliyopita kuonekana akiwa hai.
Wewe unanilazimisha nikuonyeshe kamanda akisema kufufuka, wapi nimesema kuna mtu kafufuka?
Pia,
Unatumia chanzo kuthibitisha madai yako, chanzo hicho hicho unakikatalia kikikwambia alikufa akiwa anajifungua na akizikwa miaka mitano iliyopita.
Unataka mimi nikawahoji ndugu zake au?