Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.

Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐‘ผ๐’”๐’Š๐’๐’‚๐’๐’† ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’๐’‚๐’š๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’‰๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’."

Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐‘ด๐’•๐’– ๐’‚๐’Œ๐’Š๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’Ž๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’˜๐’๐’•๐’† ๐’˜๐’‚๐’˜๐’Š๐’๐’Š ๐’˜๐’‚๐’Ž๐’†๐’‡๐’‚๐’๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’, ๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’‘๐’‚๐’”๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’–๐’‚๐’˜๐’‚, ๐’…๐’‚๐’Ž๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’Š๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’‹๐’–๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’˜๐’†๐’๐’š๐’†๐’˜๐’†."
( Mambo ya Walawi 20:13)

Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.

Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.

Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.

Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.

Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.

Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."

Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.

Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.

Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.

Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.

Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.

Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.

Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.

Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.

Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.

๐—จ๐—น๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ

Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:

๐—ž๐˜‚๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.

๐—จ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.

๐—›๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.

๐—จ๐—ฟ๐—ถ๐˜๐—ต๐—ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael

๐—ฅ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa

1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.

1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.

1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.

1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.

1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.

2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.

2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.

2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.

2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.

2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.

2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.

2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.

2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.

Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.

Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:

"๐‘บ๐’‚๐’”๐’‚ ๐’ƒ๐’‚๐’”๐’Š, ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’Œ๐’Š๐’•๐’Š๐’Š ๐’”๐’‚๐’–๐’•๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’๐’Š๐’”๐’‰๐’Š๐’Œ๐’‚ ๐’‚๐’ˆ๐’‚๐’๐’ ๐’๐’‚๐’๐’ˆ๐’–, ๐’Ž๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’˜๐’‚๐’•๐’– ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’˜๐’‚๐’•๐’†๐’–๐’๐’† ๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’†, ๐’Ž๐’‚๐’‚๐’๐’‚ ๐’…๐’–๐’๐’Š๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’† ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’–. ๐‘ด๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’–๐’‡๐’‚๐’๐’Ž๐’† ๐’˜๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’Œ๐’–๐’‰๐’‚๐’๐’Š ๐’๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š๐’‡๐’–.' ๐‘ฏ๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’…๐’Š๐’š๐’ ๐’Ž๐’‚๐’๐’†๐’๐’ ๐’–๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’š๐’๐’˜๐’‚๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’Š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’Š๐’”๐’“๐’‚๐’†๐’๐’Š.โ€
(Kutoka 19:5-6)

Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.

Rejea:
โ€ขWikipedia
โ€ขGay Israel
โ€ขJerusalem Post
โ€ขOUT
Achana na walawi

Tujenge nchi kwanza

Kutwa kucha Israรซl Israรซl

Tuwekeze focus kwetu

Bora mlete mambo ya wafipa, au Hadithi za wafyomi na wayao na waikoma
 
Pwani ya afrika mashariki ubasha na ushoga alileta nani mara ya kwanza.
Nazungumzia unguja na pemba na tanga na kismayu na mogadishu na kilwa na mombasa na kilwa na sofala pia.
Si ndo maana nimesema hao watu weupe wote washenzi si waarabu wala wazungu. Huku kwetu watu wa mashariki ya kati wameleta waarabu. Na wazungu wamefundishwa na warumi na wagiriki wa kale ndio wamewaletea ustaarabu wa uchoko wazungu wenzao. Na sasa wayahudi nao wamekua wadau wazuri tu.
 
Upo sahii kabisa mdau
 
Mkuu Maalim Raphael,
Kuhusu masuala ya ushoga kwa nini unahangaika na mambo ya nchi za mbali huko badala ya kuangazia hapo jirani tu Zanzibar ambapo kuna ndoa nyingi tu za mashoga, na sherehe za harusi hufanyika kabisa?!

View: https://youtu.be/3Uuill1-iKM?si=rwW69pxsYdBZIXaV

View: https://youtu.be/1WmUz6NKsJU?si=kB_wlq8CwE0NfXnr
 
Mbona hata kwa waarabu hii michezo ipo lakini hamuongelei

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo vijana wa Kiislam mmekaliwa na chuki rohoni pamoja na unafki, ungekuwa unajuwa ukweli wala usingekuwa na jazba namna hii. Usenge unakatazwa uarabuni ila nduguzo wanafilana kama hawana akili tena kwa kujificha.
 
Na maalimu usisahau tutazame pia watu wa kwanza kuuleta ushoga na ubasha pwani ya afrika mashariki walitokea mataifa yapi ya bandia.
NB:Nitashukuru ukitizama na hilo pia
Usiache na kiwaangalia anglikana, mkuu.
Alafu kumbuka hakuna dhehebu la kiislam lililo ruhusu mambo hayo.
Wala msikiti unao ruhusu ndoa za jinsia moja, hapa Duniani, kama upo niambia nibadili dini sasa hivi.
 
Someni hii hadith kwanza ambayo ili kuficha ukweli inaitwa hadith dhaifu na wanazuoni wa kiislamu hadithi idadi 16,245 na naomba msome kwa sauti ya juu

Sio maneno yangu bali maneno ya Mu'wahiya Ibn Abu Sufyan ambae ni Mwarabu.
 
Nchi takatifu inaporuhusu uchafu unaomchukiza YEHOVA !! Lazma wataendelea kuteswa na wafilisti na wakiendelea watateketezwa tena kwa moto kama Sodoma na Gomorah!
 
Back
Top Bottom