Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Ni ngumu saana kurudisha imani ila ni ngumu zaidi kuanza upyaaaa hasa kama watoto wako kati yenu, waweza jidanganya mwaka ama miwili ila inafail....sikushauri hata kidogo take ur time, heal and all shall be well, wanaume ni walewale na wanawake ni walewale...kubwa duaaa!!!
Bottom line zimwi likujualo halikuli likakwishaaa.....
 
Kuliko kupigana vitu vizito kichwani mkaishia kugawana majengo ya serikali mwingine mochwari, mwingine jela au wote mochwari, si ni bora mkaachana tu. Hata mimi nilikuwa na mentality ya kusimama na ndoa no matter what. Ila siku ikafika nikasema enough is enough. Sasa hivi nina furaha na wanangu, hata X mr sina kinyongo nae. Akipiga simu napokea. Yaani ni full amani ya nafsi.
 
Hata wakili ili aweze kukusaidia kwenye kesi lazima ajue key problem, otherwise unaweza kutoa ushauri for the wrong problem.
 
Sasa wewe hapa umesaidia nini? Umeishia kujaza server na upupu tuu..
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Pole sana. Kama hutajali njoo inbox unieleze nikushauri kama unaona huwezi kuweka hapa hadharani.
 
Wanawake wa Bongo nao siyo pasua kichwa mkuu? Ukipiga kimoja cha nguvu tabu kuisimamia kucha nayo tabu [emoji23] [emoji23]
 
Uzito unakujaga pale ambapo hakuna communication kwenye ndoa. If the two of you cannot sit down to talk about your problems then it is very difficult to solve problems in your marriage.
The thing is mume wangu happen communication..anakwepa each time
 
Uzito unakujaga pale ambapo hakuna communication kwenye ndoa. If the two of you cannot sit down to talk about your problems then it is very difficult to solve problems in your marriage.
The thing is mume wangu hapendi communication..anakwepa each time
 
Nashukuru ndugu kwa mchango wako...ila image ambayo nimepaint kwa ndugu zangu watashangaa sana..na wanamuamini na kumuheshimu mnooo.. Sasa nikiwaambia hayo kesho na keshokutwa sijui watamtazama vipi usoni...hajawahi kulalamika kwa ndugu zangu kuhusu mapungufu yangu na mimi ni mwanadamu siko perfect...
 
Basi tueleze sisi usiotujua kabisa.,
Japo kwa mafumbo na kuficha ID halisi na maeneo halisi..ili mradi ushushe mzigo.,

Kwani kampa mimba mamamkwe?.lol...kuna mdau kauliza hapo
 
Amesema yeye ni graduate hana kazi, so hiyo option ya kuondoka na watoto haiwezekani.
 
Kama nawe hauko perfect I don’t know not perfect to what extent basi vumilia tu ndoa iendelee huku ndugu zako wakiendelea kuamini hiyo FAKE image ya mume wako unayowaaminisha ndugu zako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…