Kumbe na wewe sio haba😜Umenikumbusha nilivyokua kwenye paper, ukimaliza unapeleka karatasi unatoka
Sasa waliokua wanatusimamia watatu kila binti anayepeleka karatasi akiondoka wanamwangalia nyuma halafu walimu wanakonyezana
Mimi nimekaa mbele nawaona nikawa natabasamu hadi wakaniona, nilivyopeleka paper yangu mmoja akaniambia 'watoto wa elfu 2 mtatufukuzisha kazi'
😅😅
Mhmmm unatudanganya 😁😁😁Aisee hongereni sana, mimi siwezi kudanganya pia, sina babe wala ndoa na wala sichagui sana, huenda mimi ndiye sivutii so waoaji ndiyo wanachagua sana🏃♀️
Hamna! Walijisikia tu kuniambia vile😅Kumbe na wewe sio haba😜
Sio kwel kuna namna😁😁Hamna! Walijisikia tu kuniambia vile😅
Njoo
Muda ni SASA usipotoa ushuhuda subiri wezi wapite nae mchumbaMuda wa kutoa ushuhuda bado mkwe wangu 😍
😂😂😂 Wahuni saaana hao wapare.Baba! Mimi nataka mwanaume wa kipare😣
Sijawahi kupata mwanaume wa kisukumaMuda ni SASA usipotoa ushuhuda subiri wezi wapite nae mchumba
😂😂😂 Wahuni saaana hao wapare.
Tafuta wasukuma
Napinga 100%, dunia ya sasa mtu unakosaje mpenzi...yaani kati ya watanzania 60m+ unakosaje wako mmoja tu?Aisee hongereni sana, mimi siwezi kudanganya pia, sina babe wala ndoa na wala sichagui sana, huenda mimi ndiye sivutii so waoaji ndiyo wanachagua sana🏃♀️
Yaani kwa kweli mtu usipokuwa na kiasi kwenye hizi mambo utaangukia pua, girls dress well, wanaonesha shapes zao...ni kuomba na kufunga tu🤣🤣🤣Umenikumbusha nilivyokua kwenye paper, ukimaliza unapeleka karatasi unatoka
Sasa waliokua wanatusimamia watatu kila binti anayepeleka karatasi akiondoka wanamwangalia nyuma halafu walimu wanakonyezana
Mimi nimekaa mbele nawaona nikawa natabasamu hadi wakaniona, nilivyopeleka paper yangu mmoja akaniambia 'watoto wa elfu 2 mtatufukuzisha kazi'
😅😅
Usijaribu, utapata walanguzi tupuHabari Wana Jf
Natumai mko salama
Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊
Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata
Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama ni nini tatizo?
Au utaratibu Gani utumike kusikia lengo?
Mbona uniulizi naumwa nini
Nataka nikuulize piem mkweMbona uniulizi naumwa nini
Kwa nini usingewaambia kuwa unamiliki mgodi?Mimi sikupata,,
Walikuwa wakija wanauliza unafanya kazi gan ukimwambia mi Mkulima anasepa😀
Inatokea mkuu😢Napinga 100%, dunia ya sasa mtu unakosaje mpenzi...yaani kati ya watanzania 60m+ unakosaje wako mmoja tu?