Tormenter
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 427
- 808
- Thread starter
- #401
Yeaah me nimekuelewa kakaaa!! Ila tu kwamba we unaongea kitaaluma zaidi mm naongea kwa uzoefu wa kuumwa na kupona huo ugonjwa, na pia kwa kutumia hizo dawaaaa km utomvu, mavi ya kuku, uzi wa kamba n.k.. wapo waliopona kwa kamba, wapo waliopona kwa utomvu, wapo waliopona kwa mavi ya kuku na wapo waliopona bila kutumia dawa yyt.. so me nadhani dawa zote ni sahihiUmeona hapo nime attach na pix hicho nikitabu kimefanyiwa research huwenda inahitaji maeneo yenye ngozi ngumu mtu anaweza tumia option #2
Kipi kilikuponesha