Yeaah me nimekuelewa kakaaa!! Ila tu kwamba we unaongea kitaaluma zaidi mm naongea kwa uzoefu wa kuumwa na kupona huo ugonjwa, na pia kwa kutumia hizo dawaaaa km utomvu, mavi ya kuku, uzi wa kamba n.k.. wapo waliopona kwa kamba, wapo waliopona kwa utomvu, wapo waliopona kwa mavi ya kuku na wapo waliopona bila kutumia dawa yyt.. so me nadhani dawa zote ni sahihiUmeona hapo nime attach na pix hicho nikitabu kimefanyiwa research huwenda inahitaji maeneo yenye ngozi ngumu mtu anaweza tumia option #2
Kipi kilikuponesha
Ni sawa lakini ungetoa msaada kujua dawa ungesaidia wengi, kuna uzi hata mwezi ujaisha jamaa nae ni muangaaliomba nae kujua dawa nimesahau jina lake.Me nimeeleza nilivyoumwa hadi kupona its a testimonial post and more like an appreciation post kwa Jf maana hapa ndo niligundua km nilivyonavyo ni ugonjwa
Ni sawa lakini ungetoa msaada kujua dawa ungesaidia wengi, kuna uzi hata mwezi ujaisha jamaa nae ni muangaaliomba nae kujua dawa nimesahau jina lake.
ππππJamani niacheni nitambe hiyo hali nlowahi kuwa nayo, hakuna mtu anaweza kuielewa isipokuwa yule aliyewahi kupitia hiyo hali!! Very embarassingππ sahivi nauangalia udyudyu wangu kwa ujasiri na madaha
ππππππJamani niacheni nitambe hiyo hali nlowahi kuwa nayo, hakuna mtu anaweza kuielewa isipokuwa yule aliyewahi kupitia hiyo hali!! Very embarassingππ sahivi nauangalia udyudyu wangu kwa ujasiri na madaha
ππππππNipo ngweeeee uume unashikika unatazamika unatamanisha mashallaaah
Wachaa wee?! Em weka hapa huo uume.kwa faida ya members.Nipo ngweeeee uume unashikika unatazamika unatamanisha mashallaaah
Demu unayemwamini ndo anayekupa gonorrheaZinaa ina gharama nyingi sana,lakinii pia sio Kila shimo ni la kuingia..
NdivyoDemu unayemwamini ndo anayekupa gonorrhea
mmh kama nakuona unavowazaWachaa wee?! Em weka hapa huo uume.kwa faida ya members.
Sasa inatakiwa utume na sasa watu waamini uponyaji huo. ππππAaah faida ilikuw hiyo ya kutuma ulokuw na warts watu wamejifunz
Nawaza nn? Lol πππmmh kama nakuona unavowaza