USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Uzuri ni kwamba ugonjwa unatibika bila shida. Nenda hospital watakuekeleza dawa zake,unatibiwa unapona kabisa.
 
Ama gongooo SAFISHA siku saba sikuya name weka limaoo
Wakuu shukrani, huu ni upendo mkubwa sanaβ€β€πŸ™πŸ™πŸ™ nadhani dawa hizi na zingine zote mlizoniambia nitumie ziatawasaidia wale ambao bado wanasumbuka na hili janga!! Kwa upande wangu nimepona takribani miezi 10 sasa!
 
Weka picha tena tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…