Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote.

Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
 
Kuna mmoja hapa milion 25 kaishia kujenga choo
 
Dogo mmoja kawauzia matajiri wa vituo vya petroli M 300. Anakula Bata kwa kwenda forward halafu ana kazi yake nzuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…