Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

Hongera sana kwa kupiga hatua. Naamini hicho kitu kilichobakia na cha kukifanya mwaka huu, kitakua ni kitendo cha kushangaza na kushtua wengi cha kujiunga na CCM 😇 huku ukikisifia hicho chama na Mwenyekiti wake kwa kukutoa Jalalani na kukufanya uwe na maisha bora!!
 
Mie nshalipungua kilo zaidi ya kumi kwa miezi mitatu,size ya suruali ikachange toka 38 Hadi 34.hata hela ya kwenda kupunguza size kwa fundi sina
 
umenikumbusha kuna jamaa alikuwa hana tembeza vyombo hana weza toka temeke kwake hakapita buguruni,tabata,ubungo,simu2000 sinza,tandale,manzese jioni kamalizia kigogo kurudi kwake

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Una point nzuri sana lakini uandikaji wako ni majanga. ''Hana tembeza'' ''hana weza'' ndiyo nini?
 
[emoji3]
 
kazi ya zege na unakosa, daah haya maisha😡😡😡😡😡😡
Mlaumu Baba yako kina Bakhressa wakati wanatafuta yeye alikua wapi? Wanakuja waking wachovu wanatoboa jijini nyinyi mmebaki kulaumu tu. #7_tena#
 
Kutembea masaa 3-4 sio kazi ndogo kuna jambo hujalisema la kusondosha vinyesi kwenye kila njia uliyokuwa unapita
 
Shemej yangu alikuw anatembea kutoka sinza mpaka mbagala
 
Acha kuchafua wasukuma mkuu
Wengi wana baiskeli wana mikokoteni ya kuvutwa na ng'ombe ndiyo watembee na marobota ya pamba vichwani ??

Kama una nia ya kutuchafua tumia jambo jingine siyo hili.
 
umenikumbusha kuna jamaa alikuwa hana tembeza vyombo hana weza toka temeke kwake hakapita buguruni,tabata,ubungo,simu2000 sinza,tandale,manzese jioni kamalizia kigogo kurudi kwake

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Halafu akipata hela wanaanza ooh anatumia nguvu za Giza ooh freemason MTU anachomwa na Jua mpaka ananuka kama punda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…