Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

Hongera sana kwa kupiga hatua. Naamini hicho kitu kilichobakia na cha kukifanya mwaka huu, kitakua ni kitendo cha kushangaza na kushtua wengi cha kujiunga na CCM 😇 huku ukikisifia hicho chama na Mwenyekiti wake kwa kukutoa Jalalani na kukufanya uwe na maisha bora!!
Acha masihara ndugu.
Niunge juhudi tena !!!!
Impossible
 
Unanikumbusha mchizi mmoja nilikutana naye tazara akaniuliza ubungo ni wapi , nikamwelekeza sehemu pa kupandia gari, akanijibu yeye anafanya mazoezi ametokea kigamboni nilimtafakari yule mchizi kwa siku Ile mzima,
Kama alikuwa willingly haina shida. Maana Mbaya ni kupiga zoezi unwillingly
 
Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.

Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.

Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.

Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Adventure,katika maisha kila jambo linalokutokea kuna sababu zake,pengine hata hiyo nyumba, gari,pikipiki na hicho unachotegemea kupata usingeweza kuvipata kama usingepitia hayo mateso,unachotakiwa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo...
 
Hii thd kila mtu atataka kuelezea kua yeye kateseka zaidi kuliko mleta mada kama vile kuteseka ni mashindano!
 
Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.

Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.

Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.

Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Usingetembea kwa mguu usingekuwa na hivyo vitu.
Goba posta mbona karibu tu tena unakutana na watu na magari.
 
Kawe to ukonga kwa mguu daily mwezi mzima Kazi ya ulinzi ndo umeajiriwa huna hata mia unasubiri mshahara wa kwanza wa mwezi ndo uanze panda daladala
 
hyo kawaida sana hasa kwa wazee wa betting, especially wazee wa live betting
huwa tunaliwa hadi nauli ko swala la kutembea kwetu ni kawaidsa tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unabetia wapi nimecheka kama chizi ahahahahaha vijana kazi mnayo daaah, si kuna platform za kubetia kwene simu ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu ninavyoandika uzi huu niko Mlandizi naelekea Chato kwa miguu. Nimepozi kidogo nachimba dawa
Niko Kahama acheni zenu naelekea Chato kwa mguu na bado niko fit
Ulipata hiyo kazi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

au vipi kiongozi, endelea KUHUDHUNIKA

Halafu akipata hela wanaanza ooh anatumia nguvu za Giza ooh freemason MTU anachomwa na Jua mpaka ananuka kama punda.
 
Mi nilishawahi kupanda ghorofa ya nne kutoka ground floor kwa kutumia ngazi. Siku hiyo lift ilikuwa mbovu. Yaani nilipata makasiriko hadi basi.
 
Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.

COVID sucks!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] washukuriwe wasamaria wema
 
Maisha acha tu,Umeshawahi kuskia kiu mpaka ukanywa maji ya mtoni wewe?

Katika kubana bajeti na matumizi,Nilinunua tomato yangu chupa 1200 ile kubwa ndio ilikua mboga yangu kila siku na ugali.Tunaita ugali tomato (haya n maisha tu) tena tomato enyewe unaitumia kwa kujibana knoma noma isiishe,nikikuonyesha tomato ninayolia ugali unaweza hisi sitomaliza ugali ila nlikua namaliza ugali wote tomato nloweka haijaisha.

Ukiona mtu anaweza kula milo mi 3 kwa siku bila kujali aina ya milo anayokula ni moja ya achievement kubwa sana maishani.

maisha si rahisi kama watu wafikirivyo,Maisha yakikuamulia unaweza kula ugali na uji ukafanya mboga..This is life.
 
Back
Top Bottom