Ungempa buku ya maji.Unanikumbusha mchizi mmoja nilikutana naye tazara akaniuliza ubungo ni wapi , nikamwelekeza sehemu pa kupandia gari, akanijibu yeye anafanya mazoezi ametokea kigamboni nilimtafakari yule mchizi kwa siku Ile mzima,
Unaonekana una ego Sana.. Yani ulishindwa kuomba mianne mpaka utembee umbali wote huo?..Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
Fala we 😂😂😂😂😂😂😂Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Uwoga wako ndio ulio kuponza..Ungepanda daladala mkuu, makondakta huwa hawanaga noma ungewambia wangekuelewa.Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Niliipata na ilinifungulia Milango mingine. Namshukuru Mungu kwa kunipa uvumilivu wakati huo.
Mbona sio mbali ukifika surenda bridge umefika osterbay kidogo umefika moroco kidogo umefika Victoria kidogo sayansi kidogo mwenge kidogo Makongo then unaitafuta goba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mzee ulitembea kahhhh miguu haikuumaHakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Huwezi kutembea km25 kwenda na kuludi kila siku ndugu yangu sikia tu habari yake,hapo ni wastani wa masaa 8 mpaka 6Posta Goba haizidi 20k, unaona kama umetembea mbali sana?
Wamama huko vijijini wanatembea hadi 25kms kufuata maji kila siku kwenda na kurudi. Nenda singida watu wanatembea na punda 40km kwenda kutafta maji na kurudi.
Wasukuma huko Shinyanga wanatembea zaidi ya 50km kwenda minadani kuuza viazi ama mahindi ama pamba tenda wamejitwisha kichwani.
Posta Goba unaona mbali sana ndugu?
fundi25 Pafupi kama umeamkia Chapati tatu za mia mbili hamsini ama mia tatu na bakuli la maharage! Lakini umeamkia kashata na maji ya kufunga, ni parefu balaa!!![Qmiambili E="fundi25, post: 38166079, member: 136622"]
Bado pafupi apo!!
Ha ha hahaa! Nilianzia Kinondoni Moscow kule chini karibu kabisa na mazalia ya mbu wa Muhimbili!! Baadaye nikaamishia "majeshi" Kisenvule, kodi 20,000 miezi mitatu! Sasa hapo uamue nani amsalimie mwenzake! Ha ha haaa!Kipindi hicho una nunua barafu unadumbukiza kwenye maji siku inapita barafu ya shilingi tano au kumi! Aisee nisalimie
Duh ulikuwa ushuwani mkuu yani 20, 000 ilikuwa kodi hangu ya miezi 6 na hapo nilihama mwana nyamala kwa kidile ulizia habari za hko nilikuwa ni lipa kwa mwezi 2000!Ha ha hahaa! Nilianzia Kinondoni Moscow kule chini karibu kabisa na mazalia ya mbu wa Muhimbili!! Baadaye nikaamishia "majeshi" Kisenvule, kodi 20,000 miezi mitatu! Sasa hapo uamue nani amsalimie mwenzake! Ha ha haaa!
Miaka ipi hiyo?Nyamwage mpaka kivinje kwa mguu we acha tu nimekutana na SIMBA Mara tatu dah