Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #61
Acha masihara ndugu.Hongera sana kwa kupiga hatua. Naamini hicho kitu kilichobakia na cha kukifanya mwaka huu, kitakua ni kitendo cha kushangaza na kushtua wengi cha kujiunga na CCM 😇 huku ukikisifia hicho chama na Mwenyekiti wake kwa kukutoa Jalalani na kukufanya uwe na maisha bora!!
Kama alikuwa willingly haina shida. Maana Mbaya ni kupiga zoezi unwillinglyUnanikumbusha mchizi mmoja nilikutana naye tazara akaniuliza ubungo ni wapi , nikamwelekeza sehemu pa kupandia gari, akanijibu yeye anafanya mazoezi ametokea kigamboni nilimtafakari yule mchizi kwa siku Ile mzima,
Hahahahahaha Mataga wanajidai hawajasikia?Kwani mzee si kasema kuwa ameishinda?
Hamjabeba mabango mkiandamana huku mkisema duniani ni yeye pekee aliwlyeisambaratisha COVID 19?
Adventure,katika maisha kila jambo linalokutokea kuna sababu zake,pengine hata hiyo nyumba, gari,pikipiki na hicho unachotegemea kupata usingeweza kuvipata kama usingepitia hayo mateso,unachotakiwa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo...Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Usingetembea kwa mguu usingekuwa na hivyo vitu.Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala.
Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya walioumbwa na Mungu. Mwendo wa masaa 3-4. Na kinachoumiza zaidi road magari kama yote.
Nimewahi kulala nje siku moja baada ya kukosa kambi siku hiyo. Kuna broo mmoja ndo alikuwa akinichana live kuwa mimi sio mjanja ndio maana naishi kwa mdogo wangu. Sasa naishi kwangu, nina gari, pikipiki na nitafanya kitu kingine within this year.
Kuna vitu ukikumbuka unapata hudhuni sana.
Aiseee watu tunapasua mpaka kibaha na wala hatushtuki.
hyo kawaida sana hasa kwa wazee wa betting, especially wazee wa live betting
huwa tunaliwa hadi nauli ko swala la kutembea kwetu ni kawaidsa tu
Usikute una PASSO unadai unamiliki Gari
Niko Kahama acheni zenu naelekea Chato kwa mguu na bado niko fitMkuu ninavyoandika uzi huu niko Mlandizi naelekea Chato kwa miguu. Nimepozi kidogo nachimba dawa
au vipi kiongozi, endelea KUHUDHUNIKA
Halafu akipata hela wanaanza ooh anatumia nguvu za Giza ooh freemason MTU anachomwa na Jua mpaka ananuka kama punda.
Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] washukuriwe wasamaria wemaWewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
mtu yyte mwenye gari (liwe lake tu) Muheshimu sana bila kujali n passo au vits namba A ilimradi ni gari,mpe heshima kubwa sana.Usikute una PASSO unadai unamiliki Gari
Wasamaria wema wakaingilia kati[emoji23][emoji23]Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!