Ni mazoezi piaUnaonekana una ego Sana.. Yani ulishindwa kuomba mianne mpaka utembee umbali wote huo?..
Kwa uchungu sanaMaisha acha tu,Umeshawahi kuskia kiu mpaka ukanywa maji ya mtoni wewe?
Katika kubana bajeti na matumizi,Nilinunua tomato yangu chupa 1200 ile kubwa ndio ilikua mboga yangu kila siku na ugali.Tunaita ugali tomato (haya n maisha tu) tena tomato enyewe unaitumia kwa kujibana knoma noma isiishe,nikikuonyesha tomato ninayolia ugali unaweza hisi sitomaliza ugali ila nlikua namaliza ugali wote tomato nloweka haijaisha.
Ukiona mtu anaweza kula milo mi 3 kwa siku bila kujali aina ya milo anayokula ni moja ya achievement kubwa sana maishani.
maisha si rahisi kama watu wafikirivyo,Maisha yakikuamulia unaweza kula ugali na uji ukafanya mboga..This is life.
mtu yyte mwenye gari (liwe lake tu) Muheshimu sana bila kujali n passo au vits namba A ilimradi ni gari,mpe heshima kubwa sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah watu makatili sana...JeroooNiliwahi tafuta kazi nikapata kazi wanapofywatua matofali,nikaambiwa nipange vile vibao vinavyowekewa tofali.
vibao n vingi nadhani unaweza jazaa semi trela hata 5 nilipanga vile vibao kuanzia asubuhi to jioni saa 1 hivi nikaja pewa posho 500 yes ni mia tano yani mia mia tano..
hapo.mgongo wote unauma nina njaa sielewi hii jero naitumia kununua nini,nashukuru kipind kile kulikua namama mmoja anauza mama ntlie nilienda nunua Ukoko wa 500 akanimwagia na mamichuzi nikala ule ukoko Japo uliniumiza tumbo sana ila n moja ya memory chungu sana kuwahi tokea maishani mwangu.
😂😂😂😂😂😂Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
Nakupata nakupata mkuu 😂Kwa uchungu sana
Hali ya hewa ya daslam Sio rafiki Sana kutembea umbali mrefu KWA miguu, joto linakuexhaust mapema Sana,binafsi umbali niliokuwa naweza kutembea huko kwetu kusini KWA miguu hapa daslam umbali huo ni changamotoPosta Goba haizidi 20km, unaona kama umetembea mbali sana?
Wamama huko vijijini wanatembea hadi 25kms kufuata maji kila siku kwenda na kurudi. Nenda singida watu wanatembea na punda 40km kwenda kutafta maji na kurudi.
Wasukuma huko Shinyanga wanatembea zaidi ya 50km kwenda minadani kuuza viazi ama mahindi ama pamba tenda wamejitwisha kichwani.
Posta Goba unaona mbali sana ndugu?
Me nilitembea kwa mguu kutoka posta mpaka tabata segerea , kwa kupitia njia ya ubungo, na siku nyingine nilipita njia ya gongo la mboto, ingawa bado sijafanikiwa , nipe Mbinu uliotumia kufanikiwa na kupata gari. Sandali Ali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nizero distance sana kupanda gari nikuaribu nauli.Nishawahi kutembea kwa miguu toka Tandika Majaribio hadi Temeke Sudan
Kutokuwa na nauli bhana ni shida halafu unayaona magari ya Kariakoo yanakupita tu
Wewe unasema Goba. Mimi hadi Chalinze. Nikataka kuendelea hadi Moro wasamaria wema wakaingilia kati.
COVID sucks!
Kuna wakati ukisimulia ushuda wa wengine,utashangaa.kuna watu wanashuhuda yu kanti bilivu guys.Watu wametembea katembe katembee huko msumbiji kuitafuta SA baada ya kukosa nauli na kwenye mbuga ya wanyama na wengine walipoteza maisha hapo mbona ni kama unatoka ndani na unaenda nje tuu mkiwaona na namba za GP Kama washkaji zenu jaribuni kuwauliza wengine walikua wanalala park station na wengine garden mpaka wanafukuzwa ila leo mkiwaona magari makubwa kama vile hawajalala nje Mimi niliwahi lala kwenye treni zilizokua zinapaki cape Town station siku moja nikalala ambayo inawahi saa kumi alfajiri kuwachukua wafanyakazi nikaamka nayo huko Belleville mziki ukaanza nishuke hapo Bellvile na nauli sina ya tiket ila vitu vya kawaida kwenye maisha..
Karibu wapi , natembea kwa mguu kutoka segerea na pita vingunguti mpka posta ,then narudi kwa mguu kupitia njia ya jangwani mpka segereaU
Hiyo nizero distance sana kupanda gari nikuaribu nauli.