Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Boraaa nimkose mwanaume, kuliko kumkosea Mungu wangu,

Kulia mtu unalia sababu moyo unaumia, lakini hakuna kitu kizuri kulia ktk madhabahu ya Mungu ukiwa umekosa kitu kwaajil ya Mungu, yaan unakuwa na ujasiri wa kumlilia Baba yako na trust me Mungu anakuponya jeraha na unaendelea na maisha mengine

Sio ile unalia kuzin umezin tayar na Mungu umemuacha, utaomba toba utasamehewa ndio lakin shetan hakosi kukumbusha kosa lako kila uambapo usipo jua kudeal na hii inakutesa

Yan mwambie aliee tu asizuie machozi, na alie huku akiomba asilie bure, na alie kwa kumwambia Mungu hoja yake

Hakuna kitu kizuri kinakuja bila uchungu,
Kama Yesu alipita mateso ya msalaba na huzuni had akamwambia Baba najua yakuwa eaweza kufanya mambo yote, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, lakin si kama nitakavyo, mapenzi yako yatimizwe

Alipita ktk msalaba lakin alipo vuka
Alikirimiwa jina lililo bora kuliko majina yote dunian na mbinguni
Akaketi mkono wa kuume wa Mungu Baba
Damu yake ina nguvu hadi sasa

Rafiki yako mwambie kitu kizuri kinakuja, amuheshimu Mungu awe mwaminifu, uchungu anaopitia atapokea mtoto baadaye na hakuna atakaye muondoa

Akae na Mungu vzr, mwanaume hana mbingu ya kumpa. Hivyo amuheshimu Mungu zaidi
 
dah nyie acheni tu,naweza kusema ni zaidi ya kuumia kupenda ni mtihani nyie.Mie nilikaa week kama chizi yani dah,acha tu mtu anakuja anaingia moyoni mnakuwa mnapendana na kuzoeana then mwisho wa siku ana change unaweza kujinyonga,thanks god niko salama lakini kwa kilichonikuta dah mungu ndo anajua
Vipi tupe story ilikuwaje kuna mwenzako ameamua kumuua demu wake jana tu
 
Lakini kama mwanamke sio bikra mimi sioni haja ya kutofanya mapenzi kabla ya ndoa
Hiyo ni wewe na maisha yako. Aliyeamua kuabstain, tuheshimu uamuzi wake whether ameshafanya before or not. Uzuri maisha ya kiroho ni too personal, stand for what you believe. Kukosea before doesn't mean ndo huruhusiwi kurekebisha
 
Na kama kaamua kumrudia Mungu, yupo sahih kabisa kukaa ktk utakatifu na asitende dhambi tena

Makosa ya zamani Mungu huwa anafuta ukimrudia na unaanza upya
Akirudia atakuwa kama mpumbavu, mbwa anarudia matapishi yake
Mwenye haki ya kusema hivyo ni mwanamke bikra kwamba anamtunzia mumewe
 
Na kama kaamua kumrudia Mungu, yupo sahih kabisa kukaa ktk utakatifu na asitende dhambi tena

Makosa ya zamani Mungu huwa anafuta ukimrudia na unaanza upya
Akirudia atakuwa kama mpumbavu, mbwa anarudia matapishi yake
Pia mnatakiwa kujua bikra ina thamani kubwa kwa mwanamke Lile ni agano kwasababu kuna damu inawagika
 
Hiyo ni wewe na maisha yako. Aliyeamua kuabstain, tuheshimu uamuzi wake whether ameshafanya before or not. Uzuri maisha ya kiroho ni too personal, stand for what you believe. Kukosea before doesn't mean ndo huruhusiwi kurekebisha
Yapo personal kivipi
 
Kwa kweli ni ujinga. Unaenda kuolewa mwanaume hana nguvu za kiume anakudanganya na yeye anasubiri ndoa. Sharti langu la kwanza kwa atakaetaka kunioa ni kuishi mimi na yeye under same roof kwa miezi sita halafu taratibu zingine ziendelee. Na utakuta huyo anaeleta hizo sijui kuonjana ni mpaka ndoa hana hata bikra.
Na
Mimi ndo maana nimesema labda kama mwanamke atakuwa bikra hapo sawa halafu kutest mitambo ina faida hata kwa wanawake unaweza ukaja kuolewa na mtu kumbe shoga
 
Hapa ndipo wanaume utajua ni muhim wkt huo au kama ya PILIPILI tu ule usile kashaolewa asa utafanyaje? Ngoja na mm nije ntangaze deal la kuoa nione anaelemba nani......
 
Na
Mimi ndo maana nimesema labda kama mwanamke atakuwa bikra hapo sawa halafu kutest mitambo ina faida hata kwa wanawake unaweza ukaja kuolewa na mtu kumbe shoga
Eeeeh. Anakuoa wewe kama cover. Tutest tu mitambo kwa kweli
 
Wakati wa Mungu Ukifika ataolewa tu, kumbuka kila likuepukalo lina heri nawe, Mimi kuna mmoja alifanya hivo miezi 6 tu ndoa ilidumu wakaachana, kisa tabia za mwanamme, sasa ivi miaka 4 imepita Kila 1 na maisha yake, so kama Kweli ameokoka hawezi kuumia sanaaa, amwache aende zake
 
Kwa kweli ni ujinga. Unaenda kuolewa mwanaume hana nguvu za kiume anakudanganya na yeye anasubiri ndoa. Sharti langu la kwanza kwa atakaetaka kunioa ni kuishi mimi na yeye under same roof kwa miezi sita halafu taratibu zingine ziendelee. Na utakuta huyo anaeleta hizo sijui kuonjana ni mpaka ndoa hana hata bikra.

Be blessed,

And this is what we are looking for before being tied
 
Kwa kweli ni ujinga. Unaenda kuolewa mwanaume hana nguvu za kiume anakudanganya na yeye anasubiri ndoa. Sharti langu la kwanza kwa atakaetaka kunioa ni kuishi mimi na yeye under same roof kwa miezi sita halafu taratibu zingine ziendelee. Na utakuta huyo anaeleta hizo sijui kuonjana ni mpaka ndoa hana hata bikra.

Wachache watakuelewa maana unaongea reality, drama nyingi siku hizi.

Kuijua mmu tu tiyari virgin ishavunjwa [emoji3].

Go on educating them
 
Back
Top Bottom