Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,624
- 3,143
Boraaa nimkose mwanaume, kuliko kumkosea Mungu wangu,
Kulia mtu unalia sababu moyo unaumia, lakini hakuna kitu kizuri kulia ktk madhabahu ya Mungu ukiwa umekosa kitu kwaajil ya Mungu, yaan unakuwa na ujasiri wa kumlilia Baba yako na trust me Mungu anakuponya jeraha na unaendelea na maisha mengine
Sio ile unalia kuzin umezin tayar na Mungu umemuacha, utaomba toba utasamehewa ndio lakin shetan hakosi kukumbusha kosa lako kila uambapo usipo jua kudeal na hii inakutesa
Yan mwambie aliee tu asizuie machozi, na alie huku akiomba asilie bure, na alie kwa kumwambia Mungu hoja yake
Hakuna kitu kizuri kinakuja bila uchungu,
Kama Yesu alipita mateso ya msalaba na huzuni had akamwambia Baba najua yakuwa eaweza kufanya mambo yote, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, lakin si kama nitakavyo, mapenzi yako yatimizwe
Alipita ktk msalaba lakin alipo vuka
Alikirimiwa jina lililo bora kuliko majina yote dunian na mbinguni
Akaketi mkono wa kuume wa Mungu Baba
Damu yake ina nguvu hadi sasa
Rafiki yako mwambie kitu kizuri kinakuja, amuheshimu Mungu awe mwaminifu, uchungu anaopitia atapokea mtoto baadaye na hakuna atakaye muondoa
Akae na Mungu vzr, mwanaume hana mbingu ya kumpa. Hivyo amuheshimu Mungu zaidi