Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Rudi kwenye comment yangu ya kwanza kwenye uzi huu halafu ndo uje tena.
We tuendelee apa apa kama sikuelewa mara ya kwanza unafikiri nikirudi nitaelewa tena

Sikia sasa mnafiki wa kujitegemea twende taratibu sawa eeh mtoa mada anamtumikia na kumsomesha mtoto wa mwanamke wake, na wewe dizani kama ukamshangaa ivi kwa anachokifanya

Very simple na mimi nikakuuliza je wewe huwezi mhudumia na kumsomesha mtoto wa mpenzi wako??

Hapo je??? Au bado nipo nje ya mstari

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ulivyosoma wewe umebaini kuwa ni mke wake ama hawara?
 
Kwà upande wangu siwezi kabisa.

Nina kinyaa sana kufanya Mahusiano na wake za watu au masingle maza. So huko huwezi nikuta.

Pili. Kwà upande wangu,..

Nikiwa na Mwanamke na tukapata bahati ya kutengeneza equation ya familia = baba + Mama+ watoto. Then akazingua , akajitoa au kuiharibu equation,...asee sitajihusisha tena na yeye wala wale watoto. Ndo vile....

So kuna maboya kama mleta uzi ndo Waga yanawahudumia hao watoto! ( Maana Mimi nakua sipo tena kwenye hiyo equation ) ..nawaachia wao hiyo equation. Mimi naenda kutengeneza nyingine. Ivo yani ( si umempenda mke wangu bhana?!!! Ukipenda boga, penda na ua lake)
 
Ushamba ukiisha utajua nn cha kufanya na asikudanganye mtu kama ww ulivorudiahiwa penzi basi na huyo aliekua anakula wataelewana tu na ataemdelea kupiga nyama kama kawa bado baba wa mtoto nae anakula kama kawa aloo upo kwenye cheni ndefu sana
 
Oa kabisa
 
Una kastory kidogo kuhusu hili?
Kuna single mazas nawajua ...wapo ofisi tofautitofauti...wapo zaidi ya 15...ni marafiki wote...afu pisi za maana...wanamashape...ni warembo...wakitoka maofisini wanajifanya kuchange nguo za mazoezi...

Wote Wanatembelea ndinga.....

Wanapita na mabodaboda, walinzi wa ofisi, ..yani ni hivi...ukiwachekea ..imekula kwako...cause Wana hela...

Wanapenda kufanya mapenzi ya jinsia Moja wao kwà wao,...na vile vile ...wanapenda kufanya mapenzi ya Matakoni.

Wanapenda kusuka dreadlocks ( Afu sijui kwanini masingle maza wanapenda kusuka dreads)
 
Muwe mnahudumia na watoto wao sasa sio mnapeleka tuu moto😁
 
Ila jamani unapata hadi mzuka wa kupeleka mwanamke mall aseeee limbwata kumbe linafanya kazi mimi wangu kumnunulia kitenge hadi nipate semina.
 
Dah mpka kwa watoto wako?? Weeee jamaa weee

Anyways ila kwa watu kama mtoa mada, wanafanya sababu ya huruma na upendo walio nao kwa hao wanawake zao wenye watoto ni upendo tu na huruma



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini iwe "single mother" na sio "single parent".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…