Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

Nilipofika hapo nikaacha kusoma huu upupu baada ya kufaha lengo la bandiko lako mkatoliki mstaafu.

Bila shaka yoyote ulikuwa mkatoliki wa Yombo.
Uzuri mimi kinywa changu kisafi nimefundishwa kumuheshimu kila mtu na viumbe vya Mwenyezi Mungu hata nguruwe na Mbwa kwangu ni haramu siyo kwamba nikiwaona nianze kuwapiga hapana kama ninachakula nitawapa
 
Hao wote uliowataja hapo ni matakataka mungu wa kweli haabudiwi kwa huo upuuzi ni toba na imani ya kweli kutoka moyoni.
 
Shetani keshakinyakua kiumbe hiki na anakitukimikisha bila ridhaa yake
Pole sana ndugu kama unajitambua siku moja utakufa na utaulizwa umri wako uliutumiaje hapa duniani usingeongea hivyo,utajili,vyeo,elimu na mali havitatusaidia kitu hebu fikiri vitu vitatu vitakavyokusindikiza siku wanaenda kukuzika kabulini,Mke watoto,Mali na Matendo yako,Mke na Mali vitarudi lakini matendo yako ndiyo utaingia nayo kabulini,
Kalibu kwenye Uisilamu
 
Unprecedented level of foolishness, matapeli wa zamani kutokea Mashariki ya Kati waliwakamata na wanaendelea kuwakamata majuha wengi sana. Mmebaki kushindana na kubishana kwenye vitu visivyo na kichwa wala miguu, babu zetu wali-enjoy imani zao kabla ya ujio wa wahuni kutoka mbali huko.
 
Wewe umefuata kuoa wake wengi uufurahishe mwili wako unaowaka tamaa mpaka uzeeke. Usitake tuchambue mapungufu mengi sana ya uislamu.
Kama Mungu ameruhusu hakuna tatizo,tatizo ni pale kufanya vitu ambavyo Mungu hajarusu kama ndoa ya jinsia moja
Kalibu kwenye Uisilamu
 
Unaamini mtu wa kwanza kuubwa ni Adamu?kama unamini kumbuka umetokana na shahawa yaani manii ambazo hata inzi anaweza kunyakuwa na ulipozaliwa ulikuwa dhaifu masaa ishirini na nne walikuwa wanakuangalia na wakati uko tomboni kwa mama yako ulikuwa unaishi kwa miujiza ya mwenyezi Mungu muogope Mungu wako hizo ni dilili kwa mwenye hekima kujua Mungu yupo
 
Binadamu ukiishi kwa kufuata maamrisho ya dini ya kiislamu basi maisha yako yote yatakuwa na furaha na amani

Utakuwa sio mtu wa tamaa
Utakuwa sio mtu wa majivuno utakuwa mtu muwajibikaji kwa familia yako

Kifupi uislamu ni maisha ya kweli ya binadamu mkuu.
 
True fools are the ones fantasising about dead people's ways. Eti mababu wali enjoy imani zao ulikuwepo? ? ? Hizo imani ziko wapi? Mpaka tukamfuate bibi yako kijijini kwenu atupe connection?

Huoni MUNGU amekufikia hapo hapo ulipokaa unapangusa tu huku ukidhihaki, unapangusa tu!

Mababu wali enjoy:
Kula vinyesi kama wanavyokula Wahadzabe.

Ukeketaji.

Kuua mapacha.

Kuua mke baada ya mume kufa (kama India huko)

Kuua albino.

Kuua wenye ulemavu wa viungo.

Kuzika watu wakiwa hai wamsindikize chifu aliyekufa.

Kafara za watoto wachanga kwa miungu.

Ongeza burudani zingine za mababu
 
Una maana gani
 
Kwa Nini usiyaongelee mazuri ya uislamu huko uliko bila kuhusisha ukatoliki?
Mbona hata kwa ulichokiandika inaonekana kabisa wewe ni mkatoliki wa father Mapendo wa Yombo dovya?
 
Mungu gani huyo?
Hata shetani ninyi wafuasi wake mnamuita mungu.
Mungu alliyekuumba wewe na aliyemuumba baba yako Adamu ambaye hana msaidizi mke wala mume,hakuzaliwa wala kuzaa hana mwanzo wala mwisho
 
Mungu gani huyo?
Hata shetani ninyi wafuasi wake mnamuita mungu.
Mungu alliyekuumba wewe na aliyemuumba baba yako Adamu ambaye hana msaidizi mke wala mume,hakuzaliwa wala kuzaa hana mwanzo wala mwisho
 
Mungu gani huyo?
Hata shetani ninyi wafuasi wake mnamuita mungu.
Mungu alliyekuumba wewe na aliyemuumba baba yako Adamu ambaye hana msaidizi mke wala mume,hakuzaliwa wala kuzaa hana mwanzo wala mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…