Huo ujinga ndio mnaolishwa ninyi wajinga ili mpate kupotezwa.
Ukitaka hata leo unaweza kuanzisha dini yako, ukalitafuta jina la dini yako, halafu unaanza kubwabwaja kuwa hata Adam alikuwa muumini wa dini yako, halafu utegemee wenye akili timamu wauuamini huo ujinga wako?
Kwa mfano leo hii nianzishe dini, niite DINI YA MUNGU, halafu nianze kuoiga kelele kuwa hata Musa aliabudu dini ya Mungu, hivyo hata Musa alikuwa muimini wa DINI YA MUNGU, ambayo nimeianzisha mwaka 2026, wakati musa aliishi mwaka 1600BC, yaani karibia miaka 3600 iliyopita, unaamini kuwa kuna mwenye akili timamu anaweza kuukubali huo uwongo?
Waliobuni uislam, kwa vyovyote waliwalenga wajinga!!