Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

Wanaoabudu Mungu wa kiarabu aliye katika jiwe jeusi liitwalo Kaaba
Nataka kukupa siri ya kujua ukweli,usije ukajibu kitu usichokijua ila tumia mda wako wa kutafuta ukweli wa kitu hichohicho usichokijua
 
Bro maandamano .

Uzi wako umeandika hauna hata aya na ngumu sana kuusoma.

Anyway. Hoja ni maisha yako unayoishi baada ya Kuacha Ukristo.
Ila umekurupuka.

Padri kukufundisha Na kukufungisha ndoa ni kwa kuwa wanapewa Elimu kuhusu hayo mambo na wanakuwa wameona , wameshuhudia ndoa nying na wanauzoefu wa namna watu wa ndoa wanavyoishi.

Kwahiyo sababu hii ndio ukaona bora uende Uislam kwa sababu role model wako ni mwenye ndoa 11+ kama Chizi Maarifa .

Sanamu na msalaba zilizoko kanisan haziabudiwi. Ni heshima tu inatolewa. Na ni ishara.
 
Asili ya ustarabu wa Dini ni Mashariki ya kati hata Yesu alizariwa palestina
 
Ka
Kalibu sana ndugu yangu nimependa hoja yako, hivi unaweza ukaupanda muhindi au ukamfuga ng'ombe ukawa unamuheshimu? Nazumgumzia hivyo vitu vyenye uhai,
Sasa inawezekana vipi ukanipa tenda ya kukuchongea sanamu kutokana na ujuzi wangu tena nikawa nalichonga huku nakula bangi langu pembeni halafu nikakuta unaliheshimu hilo sanamu, inaingia akilini kweli?
 

Je ukichonga sanamu bila kuvuta bangi . Nitaliheshimu?.

Hoja sio nani anachonga au anachongaje. Hoja ni heshima.

Msalaba na Zile sanamu ni alama za ibada na sio kuziabudu.

Tuanzie Hapa. Kuna ile ishara ya nyoka wa shaba kipind cha Mussa.
Yahweh aliruhusu ile alama ili aone utiifu na imani kwa wana wa Israel.
Ila sio kwamba wana wa Israel waiabudu.

Je kuna tofaut gan na ishara ya sanamu za bikira Mariam na Yesu za sasahivi?.
 
Mnauhakika gani kama za wahusika maana kipindi wako hai hakukuwepo na teknolojia ya picha?
 
Safi
 
Yan zunguka yako yote lengo lako kuu ni kutetea umalaya amna lolote jipya
 
Uzuri mimi kinywa changu kisafi nimefundishwa kumuheshimu kila mtu na viumbe vya Mwenyezi Mungu hata nguruwe na Mbwa kwangu ni haramu siyo kwamba nikiwaona nianze kuwapiga hapana kama ninachakula nitawapa
Hii ni version gani ya uislam?

Kwamba muislam wewe nguruwe siyo adui yako tena unaweza ukamlisha ale anenepe afurahi,mkiandika vitu vya uwongo muwe mnaangalia kama vinaleta maana humu wote sisi watu wazima siyo watoto
 
kaka huku hupawezi kaka, huku umevamia kaka.Wewe tuludi kule kwenye siasa na mambo ya nchi...Huku utaondoka kapa.
 
Kama Mungu ameruhusu hakuna tatizo,tatizo ni pale kufanya vitu ambavyo Mungu hajarusu kama ndoa ya jinsia moja
Kalibu kwenye Uisilamu
Ndoa ya jinsia moja,wapi imeruhusiwa hiyo ndoa ya jinsia moja?
 
Sasa mbona hamna ulichokimbia, vp lile jiwe pale maca
 
Hapo hakuna tofauti! Ulihama kutoka chumba kimoja (ukatoriki) na kwenda chumba kingine (Uislam) kwenye Nyumba ile ile Moja!
Taratibu za kuabudu na kusujudu kwa Katoriki na Islamu ni zile zile!
Wakati Wakatoriki wanainama na kusujudia Sanamu,Waislamu wanainamia na kusujudia Jiwe la Makka! Kwa hiyo mbele za Mungu ni kama uliruka mfereji harafu ukaangukia kwenye Kolongo,(Walawi26:1)
 
Ndoa ya jinsia moja,wapi imeruhusiwa hiyo ndoa ya jinsia moja?
Sasa unaniuliza mimi tena Muisilamu,hujui kama kuna Viongozi wa dini kutokana na tamaduni zao yaani wazungu wameruhusu ndoa ya jinsia moja
 
Hii ni version gani ya uislam?

Kwamba muislam wewe nguruwe siyo adui yako tena unaweza ukamlisha ale anenepe afurahi,mkiandika vitu vya uwongo muwe mnaangalia kama vinaleta maana humu wote sisi watu wazima siyo watoto
Nimekwambia mbwa na nguruwe kwangu ni haramu,lakini siyo kwamba nikiwaona nianze kuwadhuru,hapana wale ni viumbe wa Mwenyezi Mungu,inawezekana kwangu kukawa na makombo ya chakula niko radhi kuwapa kuliko kuvitupa
Sawa na majini nayo ni viumbe wa Mwenyezi Mungu
 
Uzi wako unalinganisha uzoefu wako katika Ukatoliki na Uislamu...

Ingekuwa vyema kama ungelinganisha misingi ya Ukristo (kwa mujibu wa Biblia) na misingi ya Uislamu (kwa mujibu wa Quran)...

Kumbuka madhehebu yalianzishwa na wanadamu, lakini misingi ya madhehebu ipo kwenye vitabu vinavyotoa miongozo...
 
Yan zunguka yako yote lengo lako kuu ni kutetea umalaya amna lolote jipya
Hivi Ukristo na Uisilamu upi unasababisha umalaya?unaamini wale mapandri hawafanyagi kitu,au unakijua kipimo cha kuwa pandri wanapimaga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…