maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
- Thread starter
-
- #61
Mimi nazungumzia ukatoliki ambako nilikuwa natumia Misale ya waumini sikuwai kuiona Biblia kule tofauti huku kwenye Uisilamu kuna QuruaniUzi wako unalinganisha uzoefu wako katika Ukatoliki na Uislamu...
Ingekuwa vyema kama ungelinganisha misingi ya Ukristo (kwa mujibu wa Biblia) na misingi ya Uislamu (kwa mujibu wa Quran)...
Mimi nazungumzia ukatoliki ambako nilikuwa natumia Misale ya waumini sikuwai kuiona Biblia kule tofauti huku kwenye Uisilamu kuna Quruani
Mimi nazungumzia ukatoliki ambako nilikuwa natumia Misale ya waumini sikuwai kuiona Biblia kule tofauti huku kwenye Uisilamu kuna Quruani
Kwani hayo madhehebu yametokea wapi?kwa kukusaidia kitendo cha kusema Yesu ni Mungu au Mwana wa Mungu hata kama siyo mkatoliki tayali unakuwa umeshaingia kwenye kufuru kubwaMkuu ndio maana nilianza kwa kuandika kwamba ushuhuda wako ungefaa uwe ni ulinganifu wa Ukatoliki na Uislamu badala ya kuita kwamba unalinganisha Ukristo na Uislamu...
Kama unataka kulinganisha Ukristo na Uislam, basi mada yako ingekuwa ina mantiki zaidi kama ungeijenga kutokea kwenye misongi ya hizi imani ambayo ni vitabu vyake na sio dhehebu fulani (umelivika ukristo) dhidi ya imani nyingine (uislamu ambao sio dhehebu)
Mimi si mwanasiasa wala shabiki wa siasa, normally natoa maoni ninavyoamini ni sahihi as per my observations kwenye mada zozote. Kona zote huwa nakaba bro.kaka huku hupawezi kaka, huku umevamia kaka.Wewe tuludi kule kwenye siasa na mambo ya nchi...Huku utaondoka kapa.
Kalibu tukueleweshe umjue Mungu wa kweli aliyekuumba na akakupa mtihani wa mauti na kwake siku moja utarejea tena ambako utaishi milele kutokana na yale matendo yako uliyoyaishi dunianiMimi si mwanasiasa wala shabiki wa siasa, normally natoa maoni ninavyoamini ni sahihi as per my observations kwenye mada zozote. Kona zote huwa nakaba bro.
Siyo kweli kimsingi tunazariwa tukiwakuta wazazi wetu wana dini,ulishawa kumuuliza mzazi wako.ilikuwaje akawepo kwenye hiyo dini aliyopo?KUHAMAHAMA DINI NI DALILI YA KICHAA
Siyo kweli kimsingi tunazariwa tukiwakuta wazazi wetu wana dini,ulishawa kumuuliza mzazi wako.ilikuwaje akawepo kwenye hiyo dini aliyopo?KUHAMAHAMA DINI NI DALILI YA KICHAA
Kwani hayo madhehebu yametokea wapi?kwa kukusaidia kitendo cha kusema Yesu ni Mungu au Mwana wa Mungu hata kama siyo mkatoliki tayali unakuwa umeshaingia kwenye kufuru kubwa
Nawaita kwenye Dini ya Kiisilamu dini ya mitume na manabii waliomuabudu Mungu mmoja
Labda nikuulize wewe Yesu unamchukulia kama nani?Post iliyopita iso.e vizuri nimetaja cjanzo cha madhehebu ni wanadamu, kutokana naa fasili zao za kitheolojia...
Hilo la pili la ama Yesu Kriisto ni mwana wa Mungu, Mungu au bin adam, majibu yake yapo kwenye kitabu cha Biblia (msingi wa mafunzo ya imani Ukristo)...
Ukitaka nukuu nitakuwekea, sababu hapo juu ulikiri. hukupata wasaa wa kusoma Biblia enzi ukiwa Mkatoliki...
Shetani keshakinyakua kiumbe hiki na anakitukimikisha bila ridhaa yake
Umeandika maneno mengi lakini kwa kukusaidi nenda kangalie tafsiri maana ya neno UIsilamu ndiyo utapata jibuLazima.uwe mwendawazimu ambaye umekosa akili kabisa kuamini kuwa manabii na mitume wa Yesu Kristo walikuwa waislam.
Kutoka Ibrahim mpaka Yesu Kristo Masiha ni karibia miaka 2,000. Kutoka Yesu Kristo mpaka Muhammad alipobuni imani ya kiislam ni miaka 600. Mitume wa Yesu wote walikufa karne ya kwanza, yaani karibia miaka 500 kabla Muhamad hajaanzisha dini ya Islam.
Muhamed na wajanja wenzake walioanzisha uislam ili kujenga umoja wa waislam katika vita dhidi ya wayahudi, waliiba mambo mengi ya kwenye Torah na Biblia ili kuwahadaa waarabu. Walifanya hadaa za wazi za kuwapumbaza watu ili wasiogope kufa vitani kwa kuwadanganya wakifa vitani wataenda kwenye starehe za pekee kama kunywa pombe za bure zinazotiririka kwenye mito, wanawake warembo wenye matiti marefu, kila mmoja akijipatia wanawake 72, na kuwa watakuwa na nguvu za ajabu za kufanya ngono. Nao kwa ujinga wakaamini kuwa ahera wakati wote ni ngono na pombe!! Cha ajabu mpaka leo wapo watu walionyimwa akili na maarifa, bado wanaamini hayo mafundisho ya Muhamed na genge lake!!
ndio kichaa chenyewe hicho nduguSiyo kweli kimsingi tunazariwa tukiwakuta wazazi wetu wana dini,ulishawa kumuuliza mzazi wako.ilikuwaje akawepo kwenye hiyo dini aliyopo?
Asili ya ustarabu wa Dini ni Mashariki ya kati hata Yesu alizariwa palestina
Najua hujachelewa hata wewe au kizazi chako siku moja watakuja kuujua ukweli nini maana ya UisilamuKama kweli mleta mada alikuwa mkristo, halafu akakenguaka akaiacha na kuamua kumuabudu shetani, mfalme wa imwengu na bingwa wa uwongo (best deceiver), shtani huko aliko atakufanya sherehe kwa kuongeza wafuasi wa ufalme wake wa giza.
Umeandika maneno mengi lakini kwa kukusaidi nenda kangalie tafsiri maana ya neno UIsilamu ndiyo utapata jibu
Suala la kuoa na Talaka sio la kuchukulia kimzaha mzaha....Wewe umefuata kuoa wake wengi uufurahishe mwili wako unaowaka tamaa mpaka uzeeke. Usitake tuchambue mapungufu mengi sana ya uislamu.
Najua mtu mweusi ni mbishi na ukimwambia akatafute ukweli hawezi,Huo ujinga ndio mnaolishwa ninyi wajinga ili mpate kupotezwa.
Ukitaka hata leo unaweza kuanzisha dini yako, ukalitafuta jina la dini yako, halafu unaanza kubwabwaja kuwa hata Adam alikuwa muumini wa dini yako, halafu utegemee wenye akili timamu wauuamini huo ujinga wako?
Kwa mfano leo hii nianzishe dini, niite DINI YA MUNGU, halafu nianze kuoiga kelele kuwa hata Musa aliabudu dini ya Mungu, hivyo hata Musa alikuwa muimini wa DINI YA MUNGU, ambayo nimeianzisha mwaka 2026, wakati musa aliishi mwaka 1600BC, yaani karibia miaka 3600 iliyopita, unaamini kuwa kuna mwenye akili timamu anaweza kuukubali huo uwongo?
Waliobuni uislam, kwa vyovyote waliwalenga wajinga!!