Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

Najua hujachelewa hata wewe au kizazi chako siku moja watakuja kuujua ukweli nini maana ya Uisilamu

Unataka tuujue mara ngapi? Tunaujua uislam na hadaa zake zote kuliko unavyofikiria. Inawezekana hujui hata zile Quran za mwanzo zilikuwa ngapi! Vatican imezitunza zote kwenye library yake, kwa sababu uislam uliingia kama imani ya kuupinga ukristo, ndiyo maana zilifanyika jitihada kubwa za kuufahamu uislam na hadaa zake, na lengo lake. Hivi unajua kuwa mpaka Muhamad anafariki hakukuwahi kuwa na kitabu kinaitwa Quran? Halafu wajinga mnadanganywa kuwa Quran aliteremshiwa Muhamad! Aliteremshiwa akiwa huko kaburini?

Wenzenu huko Uarabuni, miaka ya karibuni kumekuwa na movement kubwa ya kuachana na uislam baada ya kujua hadaa zake, ninyi huku ndiyo mnajiingiza kwenye hadaa.

Fikiria nchi kama Iran, yenye sheria za ajabu za kuwalazimisha kuwa waislam, lakini ndiyo nchi inayoongoza mashariki ya kati waislam kuukana uislam na kuugeukia ukristo.
 
Najua mtu mweusi ni mbishi na ukimwambia akatafute ukweli hawezi,
Sasa nakujibu Uisilamu ni kuamini kuna Mungu mmoja tu,,hata Ibrahimu alimuamini Mungu mmoja tu,hata Musa,wewe unaamini Miungu wangapi?

Ndiyo maana nasema umekosa maarifa. Yahweh aliyeabudiwa na Ibrahim, Musa, Isaya, na manabii wote siyo huyo Allah aliyekuwa Mungu wa wapagani huko Uarabuni.
 
Kama unaamini ukifa utaenda peponi au mbinguni kula bata milele
Jehanamu au kuzimu kuchomwa moto milele

Lazima wewe utakuwa na tatizo la afya ya akili

Wake up!
 
Ndiyo maana nasema umekosa maarifa. Yahweh aliyeabudiwa na Ibrahim, Musa, Isaya, na manabii wote siyo huyo Allah aliyekuwa Mungu wa wapagani huko Uarabuni.
Twende tutaelewana tu hata mitume unazani ilikuwa kazi rahisi kuwaelewesha watu,Nuhu alihubiri miaka 900 kwenye safina wakaingia watu sita tu,kwani wewe unaelewa GOD maana yake nini?au wanaposemaga in the name of God?
 
Kama unaamini ukifa utaenda peponi au mbinguni kula bata milele
Jehanamu au kuzimu kuchomwa moto milele

Lazima wewe utakuwa na tatizo la afya ya akili

Wake up!
Wewe inabidi uludi tena tumboni kwa mama yako halafu uzaliwe tena upya
 
Labda nikuulize wewe Yesu unamchukulia kama nani?

Kama ambavyo Biblia imemuelezea, hivyo ndivyo ninavyomchukulia...

1. Mungu (mwana)
2. Kristo/Masihi
3. Adam wa pili (wa kwanza ni yule wa Eden)

Katika yote haya kuna nukuu zake...
 
Bora ungebaki kuwa mpagani tu pengine ungeonekana una akili
 
Pole sana Uisilamu siyo Rangi au kabila ni Imani ya mtu,kwa hiyo usidanganyike na muharabu aliyekengeuka ukajua ndiyo Uisilamu,hata Mtume Muhamad (S.A.W)alihama Makka alipozaliwa na kukulia lakini walimkana akaamua akaishi Madinna walikomkaribisha na kumuhami na badaye akaja kuikomboa Makka,hata Waisilamu wa kwanza kabisa walikimbilia Ethiopia kutokana na manyanyaso ya ndugu zao
 
Pole sana Uisilamu siyo Rangi au kabila ni Imani ya mtu,kwa hiyo usidanganyike na muharabu aliyekengeuka ukajua ndiyo Uisilamu,hata Mtume Muhamad (S.A.W)alihama Makka mji aliozaliwa na kukulia lakini walimkana akaamua akaishi Madinna walikomkaribisha na kumuhami na badaye akaja kuikomboa Makka,hata Waisilamu wa kwanza kabisa walikimbilia Ethiopia kutokana na manyanyaso ya ndugu zao waarabu lakini wakapokelewa na Muhabeshi ambaye alikuwa mkristo
 
Pole sana shehe, Allah na Muhammad ni wapumbavu kama wewe tu, tunga nyingine.
 

Omba sana hekima ya Mungu ikuongoze, ili ujue:
1. Hakuna nabii baada ya Kristo, kwa maana Mungu alimleta Kristo baada ya manabii wake kukataliwa.
2. Ukimpokea Mwana, una uzima wa milele
3. Kristo pekee ndiye njia ya kwenda Baba (ref. Maneno ya Kristo, 'Mtu hafiki kwa Baba ila kwa kupitia mimi)
4. Kristo pekee ndiye kweli na uzima (Ref. Maneno ya Kristo, Mimi ndimi ufufuo na uzima).
5. Yeyote anayefundisha tofauti na mafundisho ya Kristo, hayo mafundisho yanatoka kwa yule mwovu.
 
Manabii waliopita hawakukataliwa BALI Kila nabii aliletwa kwa kazi maalum
Mfano; Mussa aliletwa kuokoa wana wa Isreal
Yesu: Aliletwa wakati dunia ina amini uchawi na ushirikina; watu waliona wachawi kama Miungu yao.
Mungu akaona amlete Nabii na ampe Nguvu kuliko wachawi ili watu wajue Yupo Mungu mwenye mamlaka kuliko wachawi ili wamwamini Mungu; KWA BAHATI MBAYA SANA watu waka anza kumuamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya kuamini Mungu aliyemtuma.... na kudhahlilisha ukuu wa Mungu kwa kuufananisha ni kiumbe... Eeeh Mungu tusamehe!
 
Sijakuelewa bado,kwani kristo naye si binadamu? Kwa nini nimuombe binadamu badala ya Mungu aliyemuumba kristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…