USHUHUDA: Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku

Kuku wa kienyeji unaweza kuanza hata na mtetea mmoja tu kama kuna jogoo jirani.
Sure ina maana watu wanataka kuku 100 ndani ya miezi2 kitu kigum!
Ukiwana tetea 2 na jogoo 1 ndani ya miezi 2.5 una uhakuika wa vifranga 20... Wakifika weeki 3 unawapokonya mama yao baada ya week 2 mama yao anaanza kutaga hapo unaanza kua na hesabu ya kuku 40+
Cha msingi ni chakula kizur chanjo wanaenda vizuri
 
Hivi soko la bata lipo kweli???? maana duuh
Ila sio kubwa mkuu!
Ila kuliko ufuge kuku Bora bata mkuu sio pasua kichwa pia hawana gharama za chanjo chanjo na midawa kibao kama kuku!
Ni kila nyama ya bata nina tafuna na mifupa Ila ya kuku siwezi kuku wa kienyeji siku hizi nao wana dungwa madawa kama hawa wa week 6
 
Muhimu uwe na muda tu wa kuwahudumia.

Kuna kunguru, mwewe, nyoka, vicheche, paka, dawa, watoto, chakula, vitamin, chanjo...

Dah! Ni kazi kweli kweli.
 
Muhimu uwe na muda tu wa kuwahudumia.

Kuna kunguru, mwewe, nyoka, vicheche, paka, dawa, watoto, chakula, vitamin, chanjo...

Dah! Ni kazi kweli kweli.
Kweli maana hapa tatizo sio garama maana sio wote Jf wapo dar! Usimamizi ni muhimu sana!
 
Mkuu nilikua na banda zuri tu na nilikua nimezungushia chicken wire tatizo mvua ilinyesha mchana kubwa sana wakaanza km kukohoa wa km vitu vyeupe hivi yaan alianza mmoja yaan wakaanza kufa.Nilinunua dawa za vitamini cjui na dawa nyingine ila haikusaidia.Ila bata kwa siwafugi tena maana wale wadudu wanakula aisee we acha yaan kila week nilikua natenga 40000 kwa ajiri yao walipo fika tu 50 maana gunia wanakula week na hapo umewaletea matikiti mapapai mabovu yote hayo unanunua ufugaji wa bata kazi ni kwenye chakula.
 
Duh, mkuu asante sana umenisaidia, maana nina laki 2 zangu nilitaka anzafuga kuku. Kwa hamasa niliyoipata nilijua June mwakani ntakuwa milionea
 
Motivational Speaker Ni Wahuni Tu.

Afu utakuta MTU anakwambia,

"Nina Experience na Hizi shughuri, Nmesoma mpaka nina Masters in Entrepreneurship"

Sasa unajiuliza,
Hiyo masters yako ya Ujasiliamali ndo itajenga banda,itanunua madawa na chakula!

Huwa Nawaona Kama Matapeli flank Hivi wanaowatapeli vijana walokata tamaa ya maisha.
 
Aisee balaa mkuu...Bata wewe unauzaje huyo mkubwaa???
 
Mkuu pole Sana me siwapagi Dawa yoyote
Cha muhimu kuzingati Bata anapo lala pawe pakavu haswa kipindi cha mvua pia usimchanganyie pumba na maji!
Maji pembeni na pumba pembeni!
Pia usiwape mabaki ya chakula yaliyo haribika!
 
Mimi nafuga bata nilichowaambia majirani mabaki ya vyakula waniletee kwa hyo bata wangu wanakula kwa mfumo huo km chakula cha dukani nanunua kwa nadra Sana tofauti na hapo nisingeweza wanakula sana
 
Nashukuru mkuu .Mm nilikua nawapa pumba nazichangaya kidogo na maji maana walikua wanamwaga sana chin kipindi wanakula hivyo nikaona nikizilowesha kidogo walikua wanaweza kula bila kumwaga .Walikua wanaendelea vizuri tu na hata vifaranga nilikua nawanunulia growa mash na busta na nilikua nimewatenga na wakubwa ila mvua ilipokuja ndo ilikuja na huo ugonjwa wa kukohoa.
Mkuu pole Sana me siwapagi Dawa yoyote
Cha muhimu kuzingati Bata anapo lala pawe pakavu haswa kipindi cha mvua pia usimchanganyie pumba na maji!
Maji pembeni na pumba pembeni!
Pia usiwape mabaki ya chakula yaliyo haribika!
 
Aisee balaa mkuu...Bata wewe unauzaje huyo mkubwaa???
Mkuu sasa hivi Nina kula to mkuu nina subiri Adi mwezi wa 6 au 7 mwakani watakuwa washafika 200+ ndio niuze hapo mkuu ujuwe mimi nina ugonjwa kama wa wamasai wanavyo pendaga kuona ngombe me ninapenda sana kuwaona jamii zote za ndege!
Kuku tu bahati mbaya ndio walinishinda manana kidogo na Mimi ninge kuwa Dr maana kila week au baada ya week 3 lazima niende kwenye duka la dawa!
Kuku walifika 90+ nikala mkuu wengine nikauza wengine nika gawa!
Ndio nikaingia mkataba na bata hawajanipeleka hata kwenye Duka la dawa zaidi niliwahi mara moja kuwa nunulia vitamin vifaranga!
Wapo zaidi
 
Mimi nafuga bata nilichowaambia majirani mabaki ya vyakula waniletee kwa hyo bata wangu wanakula kwa mfumo huo km chakula cha dukani nanunua kwa nadra Sana tofauti na hapo nisingeweza wanakula sana
Ila Angalizo chakula chenye siku 3 au zaidi usipendeleye kuwapa pia kisiwe na maji maji Sana maana watachafuka sana!
 
mkuu
Pumba ukichanganya na maji lazima uwapoteze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…