Sereni25
Member
- Dec 14, 2018
- 78
- 91
Au kambale 😬😬😬😂😂😂Aah kumbe sasa nae alizingua..Alidhani ni samaki wale au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kambale 😬😬😬😂😂😂Aah kumbe sasa nae alizingua..Alidhani ni samaki wale au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure ina maana watu wanataka kuku 100 ndani ya miezi2 kitu kigum!Kuku wa kienyeji unaweza kuanza hata na mtetea mmoja tu kama kuna jogoo jirani.
Ila sio kubwa mkuu!Hivi soko la bata lipo kweli???? maana duuh
Muhimu uwe na muda tu wa kuwahudumia.Sure ina maana watu wanataka kuku 100 ndani ya miezi2 kitu kigum!
Ukiwana tetea 2 na jogoo 1 ndani ya miezi 2.5 una uhakuika wa vifranga 20... Wakifika weeki 3 unawapokonya mama yao baada ya week 2 mama yao anaanza kutaga hapo unaanza kua na hesabu ya kuku 40+
Cha msingi ni chakula kizur chanjo wanaenda vizuri
Kweli maana hapa tatizo sio garama maana sio wote Jf wapo dar! Usimamizi ni muhimu sana!Muhimu uwe na muda tu wa kuwahudumia.
Kuna kunguru, mwewe, nyoka, vicheche, paka, dawa, watoto, chakula, vitamin, chanjo...
Dah! Ni kazi kweli kweli.
Me nilimwelewa maana nina wa fuga alikuwa Ana walaza kwenye banda lenye maji kipindi cha mvua kwa mchana maji ya mvua kwao sio mabaya Ila kama banda lake lina ingiza maji na kama hawana umri mkubwa wana kufa!
Uzuri wa bata hana magonjwa kama kuku kuku ni hatari haswa ukiwafuga kwenye eneo dogo!
Ndio hao bukiniHahahaha kwenye bata gani mkuu hawa bukini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Duh ukifuga Bata sindio uta changanyikiwa!
Maana wanakula kama wanakufa kesho!
Aisee balaa mkuu...Bata wewe unauzaje huyo mkubwaa???Ila sio kubwa mkuu!
Ila kuliko ufuge kuku Bora bata mkuu sio pasua kichwa pia hawana gharama za chanjo chanjo na midawa kibao kama kuku!
Ni kila nyama ya bata nina tafuna na mifupa Ila ya kuku siwezi kuku wa kienyeji siku hizi nao wana dungwa madawa kama hawa wa week 6
Mkuu pole Sana me siwapagi Dawa yoyoteMkuu nilikua na banda zuri tu na nilikua nimezungushia chicken wire tatizo mvua ilinyesha mchana kubwa sana wakaanza km kukohoa wa km vitu vyeupe hivi yaan alianza mmoja yaan wakaanza kufa.Nilinunua dawa za vitamini cjui na dawa nyingine ila haikusaidia.Ila bata kwa siwafugi tena maana wale wadudu wanakula aisee we acha yaan kila week nilikua natenga 40000 kwa ajiri yao walipo fika tu 50 maana gunia wanakula week na hapo umewaletea matikiti mapapai mabovu yote hayo unanunua ufugaji wa bata kazi ni kwenye chakula.
Banda km dogo Sana lakini km banda lina nafasi wanataga bila shidaKUna mtu kanambia bata wakiwa bandani bila kuruhusiwa kuzunguka hawatagi. Ni kweli????
Mimi nafuga bata nilichowaambia majirani mabaki ya vyakula waniletee kwa hyo bata wangu wanakula kwa mfumo huo km chakula cha dukani nanunua kwa nadra Sana tofauti na hapo nisingeweza wanakula sanaNimeongea ukweli mkuu nina fuga hao jamaa ni balaa Angalia picha apo ni saa moja wamegoma kuingia ndani wana juwa wakishaingia tu ndio mwisho wa kula.
Ka toto ka bata ka miezi 3 kanaweza kula sawa na Kuku wa 2 sema na usipo wapa msosi wana angaliaga kwa huruma kama vile ume mnyima mtoto pipi ukala wewe!
View attachment 972258
Sema uzuri wa bata nyama sio tatizo kabisa kama ilivyo kwa kuku unaweza fuga kuku ukakosa wa kumla bata hukosi nyama hata siku moja!
Kuku unaweza kusema dah huyu Ana Angua sana au ana taga sana bata wote sawa ukichukuwa kisu atakaye jilengesha unaondoka naye bila kuangalia ni mweusi au mweupe labda useme bado nina penda kumuona!
Ukifuga Bata vizuri ukawa na kajiko kapisa!
View attachment 972276
Mkuu pole Sana me siwapagi Dawa yoyote
Cha muhimu kuzingati Bata anapo lala pawe pakavu haswa kipindi cha mvua pia usimchanganyie pumba na maji!
Maji pembeni na pumba pembeni!
Pia usiwape mabaki ya chakula yaliyo haribika!
Mkuu sasa hivi Nina kula to mkuu nina subiri Adi mwezi wa 6 au 7 mwakani watakuwa washafika 200+ ndio niuze hapo mkuu ujuwe mimi nina ugonjwa kama wa wamasai wanavyo pendaga kuona ngombe me ninapenda sana kuwaona jamii zote za ndege!Aisee balaa mkuu...Bata wewe unauzaje huyo mkubwaa???
Ila Angalizo chakula chenye siku 3 au zaidi usipendeleye kuwapa pia kisiwe na maji maji Sana maana watachafuka sana!Mimi nafuga bata nilichowaambia majirani mabaki ya vyakula waniletee kwa hyo bata wangu wanakula kwa mfumo huo km chakula cha dukani nanunua kwa nadra Sana tofauti na hapo nisingeweza wanakula sana
Mbuzi nyasi ni tatizo mjini unawapa chakula gani ndugu?Niliacha kufuga kuku nimehamia kwenye mbuzi, mikuku gharama kibao faida kiduchu...
mkuuNashukuru mkuu .Mm nilikua nawapa pumba nazichangaya kidogo na maji maana walikua wanamwaga sana chin kipindi wanakula hivyo nikaona nikizilowesha kidogo walikua wanaweza kula bila kumwaga .Walikua wanaendelea vizuri tu na hata vifaranga nilikua nawanunulia growa mash na busta na nilikua nimewatenga na wakubwa ila mvua ilipokuja ndo ilikuja na huo ugonjwa wa kukohoa.
Ila usi waogope mkuu watam Sana![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Hao bata Ni Hatar sana