Ushuru wa Kuagiza (import) Magari umepanda Kinyemela?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona umepanda kinyemela? December 2021 ushuru ulikua 9m TZS kwa hgari hiyo hiyo! Twafaaa

BMWun.jpg
 
Attachments

View attachment 2114007
Gari hiyo si ya mtu mwenye pesa za mawazo
 
Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona umepanda kinyemela? December 2021 ushuru ulikua 9m TZS kwa hgari hiyo hiyo! Twafaaa

View attachment 2114007
Mkuu kuna mabadiriko ya umri wa gari au bado? Maana unasema ilikuwa December
 
Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona umepanda kinyemela? December 2021 ushuru ulikua 9m TZS kwa hgari hiyo hiyo! Twafaaa

View attachment 2114007
Kama unanunua hilo taka taka used na umeshaanza mawazo ya pesa maana hapo inaonesha pesa huna basi achana nalo tu ..litakushinda
 
Hakuna kufa mzee wangu,

Wala hauna haja ya kulalamika.

Sisi EAPGS, tupo kwaajili yako na wengine wa aina yako.

Wote wanaoagiza nasisi, hawana stress za ushuru kabisa, maana tumerahisisha!

Tunaweza kukulipia ushuru wa gari lako, kisha ukaturejeshea kwa miezi isiyozidi mitatu, sita au kumi na mbili.

Tupo Mbeya, Mafiati tunatizamana na bank ya akiba commercial Bank

EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY
+255 682 274 097
 
Mjini mipango Riba 100% hailipiki gari inakuja kuchukuliwa ikiwa bado mpya/mbichi unaenda kuuzwa upya chezea Madalali uchwara wewe! Hawanaga huruma
 
Pole, lakini ndio.maana wahemga walisema, kuuliza si ujinga.

Kabla ya kuweka conclusion ambazo hazina uhalisia, bora kwanza ungehoji.

Hapo ndipo ngozi nyeupe huwa wanatupiga gap sasa.
 
Mnatumia ujinga wa wabongo kuwapiga.Tahadhari mnaoagiza magari kuweni makini na madalali wanaodai watawaagizia magari kwa kulipa/Mikopo kwa awamu. Mtapigwa mapema asubuhi.
 
Back
Top Bottom