Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Mi nilibaki nimeduwaa, Gari ya million 400 kwa kitobo kilekile ambacho ruge amecheza nacho miaka yote au ni tofauti na ivi tunavuokutanaga navyo ambiance
 
Mi nilibaki nimeduwaa, Gari ya million 400 kwa kitobo kilekile ambacho ruge amecheza nacho miaka yote au ni tofauti na ivi tunavuokutanaga navyo ambiance
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndiyo,yale ya basila mwanukuz aliponunua hammer wacha watu wampigie kelele,utafikiri pesa zao
[emoji1]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli
 
Range Rover Autobiography,hongera sana kwake...
 
"Wengi leo wako chalii na walivuma ile kinoma, jirushe kiakili kabla limelight yako haijazima" ... FAMOUS!

What's up Jay Moe.

-Kaveli-
 
Daah kauza nyumba akanunua gari akili ya wapi hio. Nyumba mali nzuri sana,angeendelea kula kodi tu.

Wadada wa Dar maisha ya mashindano yanawapelekesha sana
Ukute bado ananyumba za kutosha au ndio hivyo tena!
 
Maisha ya mitandaoni yanaweza kukufanya ujione kama wewe Huna maisha kabisaa!!

Kumbe ukweli ni kwamba umewazidi kimaisha maelfu ya watu!!
 
Kwahiyo kauza nyumba kaenda kupanga Masaki au inakuwaje ! Tuleteeni habari kamili kama alikuwa anaishi humo kisha kaiuza mbona akili hizo ni nyingine kabisa, ila wabongo wape pic tu maelezo watajaza wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu si kwakuning'inia huko, kauza mali yake kanunua mali yake, apongezwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tuambie hiyo nyumba aliyouza ipo mtaa gani hapa Dar es salaam na kauziwa nani? sio mnatuletea habari nusunusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…