Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Ulimwengu wa ushirikina ni mkongwe na mpana mno..actually ukongwe wake ni tangu kuumbwa kwa dunia kiimani... Uchawi una kaliba na matabaka mbalimbali na mengi tuu ambako yote yako chini ya mwamvuli mkubwa wa ushirikina, humo kunaUna exposure kwenye upande huo lakini sema labda tu hutaki kutuibia siri. Au labda masharti ya huko yanakubana ila fresh kaka asante kwa muda wako.
Waganga wa jadi
Wachawi
Walozi
Wanga
Wafuga majini
Wafuga mapepo
Wazee wa kitabu nknk
Ni ngumu sana nasema ni ngumu sana sana kumkuta mmoja ni mjuzi na controller wa kaliba zote hizo.. Hiyo ni level ya juu mno!