Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
UKATUNDUZE ni kitu gani mkuu?Mswahili ni mtu mmoja mbaya Sana..Bila UKATUNDUZE utakuwa unawafanyia watu kazi...haiwezekani utajiri wangu wa milioni 200 ukachezewa na uchawi wa Mia tano...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKATUNDUZE ni kitu gani mkuu?Mswahili ni mtu mmoja mbaya Sana..Bila UKATUNDUZE utakuwa unawafanyia watu kazi...haiwezekani utajiri wangu wa milioni 200 ukachezewa na uchawi wa Mia tano...
Sawa mkuuKila mnyama ana ibada yake wakati wa kuchinjwa.. Na hii ibada ni kuzuia mabaya yote yatokanayo na huko kuchinjwa kwake kwa mchinjaji na kwa mlaji .. Waislam wanajua sana hiki kitu
Huko vilingeni na kwenye madhabahu za giza mnyama anakatwa shingo na kuachwa arukeruke hadi kifo..huo ukatili hauna msamaha
Hizo zinaitwa tiba asili lakini kwa bahati mbaya nazo zimeingiliwa siku hizi, kubahatisha ni kwingi mno, Lakini pia sometimes unaweza ukapewa tiba sahihi lakini isiyo na nguvu tena kutokana na hapo mahali ilipochukuliwa..!Waganga/ wachawi wako tofauti na hawa wanaotoa dawa za miti shamba? Unakuta una mchango tumbo linauma unaelekezwa kwa mtu akupatie dawa, unaenda unachukuwa dawa unakunywa, sometimes unapona au hauponi.
Na kila unapooenda atakubadilishua dawa, mara hii inatinu UTI, mara hii hutibu matatizo ya mgongo kuuma, na dawa nyingine anakupa majani uyapike unywe ila hayo majani unakuta unayajua etc
Je hawa watoa dawa za miti shamba nao ni genge moja na waganga?
Freemason hawatumii ushirikina, kafara zao wanazofanya ni kwa ajili ya kujikinga na mabaya na wanafanya in a very smart wayMkuu na freemason wako kundi gani na nikweli wanayofanya
Pole mkuu, Tupe stori kidogoHii kitu imenipotezea rafiki yangu mazima, huwa sitamani hata kuyaona mabango yao haijarishi awe kwenye hao 90 au hao 10 kitu kinachohusisha ushirikina ni upuuzi
Nasikia huwezi pewa uchief kama wewe sio gwiji kwenye ndumba.Zipo lakini kwa uchache mno
Na huwezi pewa cheo cha kama ujamwaga damu za si chini ya elf mojaNyuma ya uchifu kuna damu zimemwagika.. Ndio maana familia nyingi za kileo zinazotokana na uchifu zina mapito mengi
Hadi kufikia UMRI hu nilionao nimejiridhisha hvi; ukisikia JINA la kitu chochote then ujue hicho kitu pia KIPO, haiwezekani JINA la kitu liwepo halafu hicho kitu kisiwepo, never. Mara nyingi huanza hicho kitu kuwepo then watu ndio wataanza kutafuta JINA la hicho kitu. Bila kujali kama nina amini au siamini, maadamu neno UCHAWI lipo then hata huo UCHAWI pia upoUganga ama uchawi haupo, ni watu wenye akili fupi tu wanaweza kuamini kitu kinaitwa uganga, uchawi, ulozi ama ushirikina, ni watu wenye akili ndogo tu wanaamini hayo mambo.
Tatizo wanakukubali Ila wanasita kusemaYaani kila ID hapa JamiiForums ni ya GENTAMYCINE na cha Kushangaza leo hii ID yangu hii inahusishwa na ID ya Mwanachama Mwandamizi kabisa ( tena huenda zaidi yangu hapa JamiiForums ) ya Mshana Jr
Ama hakika Shani ( Tunu ) ya Kipekee aliyonipa Mwenyezi Mungu ( ambayo Wapumbavu wengi Kuanzia Wewe ) hakuwapa inawatesa na itawateseni sana tu.
Chuki zenu Kwangu Mwenyezi Mungu huzigeuza na kuzifanya Baraka kubwa Kwangu ndiyo maana pamoja na Kunichukia Kwenu na Kuniandama kwa kila Kashfa na Uzushi hapa JamiiForums bado hamuachi Kutonisoma na Kunifuatilia kila mnapoingia ( Log In ) hapa JamiiForums.
Ninalijua hilo Siku nyingi sana tu Mkuu.
Nilienda akanipa dawa nichemshe ninywe kwa ajili ya tumbo. Leo narudi tena nahisi kale ka bibi kamenipa ndogo bado sijapona.Hizo zinaitwa tiba asili lakini kwa bahati mbaya nazo zimeingiliwa siku hizi, kubahatisha ni kwingi mno, Lakini pia sometimes unaweza ukapewa tiba sahihi lakini isiyo na nguvu tena kutokana na hapo mahali ilipochukuliwa..!
Hizi dawa zinakuwa na nguvu kubwa endapo zitatoka kwenye ile ardhi asilia ambayo haijawahi kuchakachuliwa na vitendea kazi na madawa ya viwandani