Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

Kama haupo sawasawa hilo Pepo la chuma ulete halikuachi salama. Kuna jamaa kafunga duka kwa sababu ya hilo Pepo.
 
Kama haupo sawasawa hilo Pepo la chuma ulete halikuachi salama. Kuna jamaa kafunga duka kwa sababu ya hilo Pepo.
Hiyo sio chuma ulete ni mapooza au ni uchawi wa kukopewa..unafilisika unaona
 
Wewe jamaa huwa unashushaga nyundo...
 
Na hawa wanaochiwa kila siku mabuchani, siku zao zimefika???...
 
Hapa sasa unataka kutulisha matango pori. Na mboga za majani nazo itabidi kabla ya kuchuma zifanyiwe ibada. Mnyama ni mnyama tu lile swali umeulizwa umeshindwa lijibu umeweka siasa. Mnyama anapochinjwa kwa ajili ya kuliwa hakuna kitu anafungamanishwa nacho. Hatolewi kama sadaka. No spirit is attached to it. Anapotolewa sadaka kuna manuizi na ndiyo huchange dhima ya matumizi ya mnyama huo. Huwezi fanya ibada ya kumchinja mnyama. Unapofanya ibada tayari unafanya manuizi mengine...unachinja then unaabudu nini?
 
Nilienda machimbo kujaribu bahati yangu asee nilipigika huko mpaka buku niliitamani alafu jiran zangu kila day wanalaza m3 m1 nilijiona nimemkosea allah asee nikaomba msaada nikachangiwa nauli ya kurudi hom kufika hom nikasema hapana ngoja nijipange tena safari hy mi nikafunga na kuomba mora akanipe japo kalaki mbili tu nikaenda fika kule kula tena msoto kama miezi sita mpaka nikafubaa kila ukiandaa kazi kuja kutoa point mbili dhahabu hiyo afu maden kibao nikajiongeza nikakopa kwa digar k50 nikaenda kwa mkali wa kwanza akanipiga pesa wa pili nae hivyo nikahama mkoa kwa mkali mwingine safar hiyi nikapewa masharti nafuu ila sikuwa na mzuka sana asee nilipo enda kuandaa kazi kule Chimbo nilipiga pesa mpaka narudi hom nina kibunda cha maana

Wakuu tusidanganyane kila mtu aamini anachoweza kiufup mi nayaamini sana matambiko tena saana
 
Kama Ibrahim wa enzi za biblia aliambiwa amtoe mtoto wake na mwisho wa siku akapewa kondoo mimi nani nibishane na sheria ya bwana wa majeshi hivi kwa nn walokole wanapinga sana matambiko kunani ?
 
Niliwahi kuibiwa nyumbani vitu vingi tu na gari nayo ikasafishwa spare kibao .. Nikashawishiwa sana nisome albadir SIKUSOMA! Nikaelekezwa kwa waganga kama watatu hivi Bagamoyo, Pemba na Tanga SIKWENDA..
Bima walinilipa, na sehemu kubwa ya mali zangu nilizipata na wale wezi walikufa mmoja baada ya mwingine mpaka wakaisha wote.. Ningeenda popote ningeamini kuwa kazi imefanyika kikamilifu na ningemtangazia mtu biashara ambayo hajaifanya
 
Wew Mkuu barikiwa sna leo nakupa credit Mimi nimfatiliaji Mzuri WA mada zako Ila sio mchangiaji

Nimejifunza Mengi sna kupitia wew hasa haya Mambo ya uchawi, maji ya Baraka ect

God bless you.
 
Nakubali
 
ww kma ni Muislamu nakuita muislamu jina mna huna sifa za kua Muislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…