Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma ulete ni pepo la kimaskini halichukui zaidi ya mwekundu kwa siku.. Mara nyingi ni buku 1, 2 mpaka 5 na halichukui kwa mtu mmoja kila siku na halichukui kiwango kinachofananaBiashara bila mganga, chuma ulete itakuacha salama?
Wewe jamaa huwa unashushaga nyundo...Dah, zamani nilikuwa na akili za kijinga kama zako, ila sina haja ya kukuhakikishia kama wachawi na waganga wapo au hawapo ila nakushauri funguwa kitabu cha dini unayoabudu ukikuta hakuna wachawi na waganga basi upo sahihi.
Na kinyume chake ukikuta verse kwenye kitabu cha dini yako kinatambuwa uwepo wa wachawi na waganga basi ujuwe wewe ndio mjinga zaidi au dini yako ndio ya kijinga zaidi.
Na hawa wanaochiwa kila siku mabuchani, siku zao zimefika???...Ngoja nikuongezee na hii
"Mnyama anayechinjwa kwa shughuli za ushirikina ni wazi analazimishwa kufa kabla ya muda wake wa kufa kutimia.. Vita yake yoyote ya kiroho baada ya hapo utaibeba wewe.. Kwahiyo utakuwa na vita mbili ama zaidi ya kupigana.. "
Muhimu sana.
SUKAH
Hamna siri hapo...We toa siri zao tu,utapotezwaaaaaaaaa
Amegundua kitu😁Sawa mkuu
Hapa sasa unataka kutulisha matango pori. Na mboga za majani nazo itabidi kabla ya kuchuma zifanyiwe ibada. Mnyama ni mnyama tu lile swali umeulizwa umeshindwa lijibu umeweka siasa. Mnyama anapochinjwa kwa ajili ya kuliwa hakuna kitu anafungamanishwa nacho. Hatolewi kama sadaka. No spirit is attached to it. Anapotolewa sadaka kuna manuizi na ndiyo huchange dhima ya matumizi ya mnyama huo. Huwezi fanya ibada ya kumchinja mnyama. Unapofanya ibada tayari unafanya manuizi mengine...unachinja then unaabudu nini?Kila mnyama ana ibada yake wakati wa kuchinjwa.. Na hii ibada ni kuzuia mabaya yote yatokanayo na huko kuchinjwa kwake kwa mchinjaji na kwa mlaji .. Waislam wanajua sana hiki kitu
Huko vilingeni na kwenye madhabahu za giza mnyama anakatwa shingo na kuachwa arukeruke hadi kifo..huo ukatili hauna msamaha
Ilikuaje Mkuu ebu dadavua kidogo tupate somoHii kitu imenipotezea rafiki yangu mazima, huwa sitamani hata kuyaona mabango yao haijarishi awe kwenye hao 90 au hao 10 kitu kinachohusisha ushirikina ni upuuzi
Kama Ibrahim wa enzi za biblia aliambiwa amtoe mtoto wake na mwisho wa siku akapewa kondoo mimi nani nibishane na sheria ya bwana wa majeshi hivi kwa nn walokole wanapinga sana matambiko kunani ?Hapa sasa unataka kutulisha matango pori. Na mboga za majani nazo itabidi kabla ya kuchuma zifanyiwe ibada. Mnyama ni mnyama tu lile swali umeulizwa umeshindwa lijibu umeweka siasa. Mnyama anapochinjwa kwa ajili ya kuliwa hakuna kitu anafungamanishwa nacho. Hatolewi kama sadaka. No spirit is attached to it. Anapotolewa sadaka kuna manuizi na ndiyo huchange dhima ya matumizi ya mnyama huo. Huwezi fanya ibada ya kumchinja mnyama. Unapofanya ibada tayari unafanya manuizi mengine...unachinja then unaabudu nini?
Niliwahi kuibiwa nyumbani vitu vingi tu na gari nayo ikasafishwa spare kibao .. Nikashawishiwa sana nisome albadir SIKUSOMA! Nikaelekezwa kwa waganga kama watatu hivi Bagamoyo, Pemba na Tanga SIKWENDA..Nilienda machimbo kujaribu bahati yangu asee nilipigika huko mpaka buku niliitamani alafu jiran zangu kila day wanalaza m3 m1 nilijiona nimemkosea allah asee nikaomba msaada nikachangiwa nauli ya kurudi hom kufika hom nikasema hapana ngoja nijipange tena safari hy mi nikafunga na kuomba mora akanipe japo kalaki mbili tu nikaenda fika kule kula tena msoto kama miezi sita mpaka nikafubaa kila ukiandaa kazi kuja kutoa point mbili dhahabu hiyo afu maden kibao nikajiongeza nikakopa kwa digar k50 nikaenda kwa mkali wa kwanza akanipiga pesa wa pili nae hivyo nikahama mkoa kwa mkali mwingine safar hiyi nikapewa masharti nafuu ila sikuwa na mzuka sana asee nilipo enda kuandaa kazi kule Chimbo nilipiga pesa mpaka narudi hom nina kibunda cha maana
Wakuu tusidanganyane kila mtu aamini anachoweza kiufup mi nayaamini sana matambiko tena saana
Niliwahi kuibiwa nyumbani vitu vingi tu na gari nayo ikasafishwa spare kibao .. Nikashawishiwa sana nisome albadir SIKUSOMA! Nikaelekezwa kwa waganga kama watatu hivi Bagamoyo, Pemba na Tanga SIKWENDA..
Bima walinilipa, na sehemu kubwa ya mali zangu nilizipata na wale wezi walikufa mmoja baada ya mwingine mpaka wakaisha wote.. Ningeenda popote ningeamini kuwa kazi imefanyika kikamilifu na ningemtangazia mtu biashara ambayo hajaifanya
ww kma ni Muislamu nakuita muislamu jina mna huna sifa za kua MuislamuNilienda machimbo kujaribu bahati yangu asee nilipigika huko mpaka buku niliitamani alafu jiran zangu kila day wanalaza m3 m1 nilijiona nimemkosea allah asee nikaomba msaada nikachangiwa nauli ya kurudi hom kufika hom nikasema hapana ngoja nijipange tena safari hy mi nikafunga na kuomba mora akanipe japo kalaki mbili tu nikaenda fika kule kula tena msoto kama miezi sita mpaka nikafubaa kila ukiandaa kazi kuja kutoa point mbili dhahabu hiyo afu maden kibao nikajiongeza nikakopa kwa digar k50 nikaenda kwa mkali wa kwanza akanipiga pesa wa pili nae hivyo nikahama mkoa kwa mkali mwingine safar hiyi nikapewa masharti nafuu ila sikuwa na mzuka sana asee nilipo enda kuandaa kazi kule Chimbo nilipiga pesa mpaka narudi hom nina kibunda cha maana
Wakuu tusidanganyane kila mtu aamini anachoweza kiufup mi nayaamini sana matambiko tena saana