Usibishane na anayepinga kuwa Mungu yupo

"shetani aliweza kumshawishi Eva kula tundra kwa uwezo wa Mungu" pinga kwa kutumia hoja zilizojitosheleza.
 
Hapa duniani unaweza kubishia chochote na ukashinda

Kwa sababu tu swali what is reality?? Lina utata sana

Usibishane na mtu bila kujua foundation yake Ni ipi kwenye mada husika
Mimi napinga uwepo wa Mungu kwa sababu za kifalsafa kwa kuangalia mantiki.

Mtu anaweza kubishia chochote. Zamani nilifikiri hesabu na mantiki fulani za kidhahania zimepita tatizo hili, lakini nikaja kumsoma Kurt Godel na Godel's Incompleteness Theorems, nikagundua kuwa hata hesabu na mantiki dhahania hazijapita tatizo hili.

Lakini pia, tunaweza kuweka muktadha mzuri wa majadiliano, tukaelewana. Tukaeleza mambo kwa muktadha fulani. Albert Einstein kaonesha umuhimu wa muktadha katika Einstein's Relativity, General na Special.

Mfano.

Kama tunahitaji kujua thamani ya pi in decimal notation ili kujenga daraja, halafu tukagundua kwamba, thamani ya pi in decimal notation hai terminate (irrational number), tunaweza kufanya mambo mawili.

Tunaweza kusema tunataka kujenga daraja la kupitisha mpaka malori ya tani 60. Tukaangalia tunahitaji pi value mpaka six decimal places tu ikatutisha kujenga hilo daraja.

Au, tunaweza kusema kuwa, hatuwezi kujua thamani kamili ya pi in decimal notation, na hivyo hatuwezi kujenga hilo daraja.

Kati ya mitazamo hiyo miwili, utachagua mtazamo upi?
 
Safi sana ..
Mkuu,

Nikikuambia kwamba, kuna binti mchanga wa miezi 6 leo, ambaye ni mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo, utakubali habari hiyo kuwa ni ya kweli?
 
Hivi ni kweli watu wanaopinga uwepo wa Mungu wanaamini hivyo kwa mioyo yao? Sidhani!

Kama wapo, ni wachache miongoni mwa wengi wanaodai hivyo. Na kama kweli mtu hafahamu kuhusu uwepo wa Mungu na UWEZO Wake, ni sahihi kumwelewesha, lakini kama anapinga kwa lengo la kupinga ni kupoteza muda kujaribu kumweleza.

Nina mashaka kuwa huenda wanaodai Mungu hayupo, hawafanyi hivyo kwa sababu hawajui, bali wameamua kuwa wapinzani wa Mungu. Kwa lugha nyingine, wameamua kwa hiyari yao kumsaidia Shetani kuwapotosha watu wa Mungu.

Na kama mtu kachagua kuwa upande wa Shetani, ni busara kujihadhari unapoamua kumjibu. Labda, anatafuta ama kukukwaza tu au kuidhoofisha imani yako. Usimpe hiyo nafasi.

Shetani hajabadilisha mbinu. Si mbunifu. Mbinu zile zile alizozitumia zamani kuwaangusha watu wa Mungu ndizo anazozitumia hata sasa.

Unakumbuka alivyomdanganya Eva? Alijua fika kuwa Adam na mkewe waliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, lakini bado aliwaambia wakikaidi Maagizo ya Mungu, watafanana na Mungu.

Watafananeje na Mungu na huku walikuwa wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu? Tayari walikuwa wanafanana na Mungu! Shetani alichotaka ni kuwafanya wamkosee Mungu kwa kukaidi Agizo Lake kwao.

Alimwambiaje Yesu? Alifahamu kwa usahihi kabisa kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, lakini bado alijaribu kumtia mashaka kwa namna ile ile aliyowaangusha Adam na Eva. Alimwambia, "Ikiwa Wewe ni Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate"

Hizo kauli zilizotumiwa na Shetani kuwaangusha Adam na Eva dhambini na aliyojaribu kumlaghai nayo Yesu zinatofautianaje na za watu wanaotaka wathibitishiwe kuwa Mungu Yupo?

Shetani alilenga kumfanya mwanadamu wa kwanza asimwamini Mungu, akafanikiwa. Ndicho alichokusudia pia kwa Yesu, lakini akaangikia pua.

Ni bora unapoona watu kama hao wameibua maswali yenye lengo la kukejeli au kubishana, ukakaa kimya, au ikibidi kuwajibu, ukafanya hivyo kwa tahadhari. Labda tu kama itabainika kuwa lengo lao ni kutaka kujua na si vinginevyo. Kinyume na hapo, ni kupoteza muda kubishana nao.

Akikukejeli, usimrudishie. Ukimrudishia kejeli ni sherehe kwa Shetani. Ndicho anachotafuta. Anataka umkasirishe Mungu.

Akikutukana, kaa kimya. Shetani angetamani na wewe ungetukana, tena kwa tusi kubwa kuliko la aliyekutukana.

Chunga usemi wako. Ukiona utakachokisema hakitakuwa na msaada, ni bora ukae kimya. Au umjibu kwa kumkumbusha kuwa Mungu anampenda. Akijibu kwa jazba, endelea kumwambia, "MUNGU ANAKUPENDA", halafu utaona kama ataendelea na kejeli zake au la.

Narudia tena! Wengi wa wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu huenda wanafanya hivyo kwa lengo la kupotosha wenye imani haba, na si kwamba hawajui kuwa Mungu Yupo.

Shauku ya Shetani ni kuona kuwa watu wengi wanaamini Shetani hayupo. Anajua akifanikiwa kuwaaminisha kuwa hayupo, ataweza kuwaaminisha pia kuwa Mungu hayupo. Akishindwa kuwaaminisha hivyo, atatafuta mbinu ya kuwafanya watu waamini kuwa ana nguvu sana.

Shetani ni muongo na baba wa uongo. Maisha yake ni uongo. Usiiingie kwenye mtego wake.

Mungu Yupo, tena Yu Hai. Na Shetani naye pia yupo, na anajua kuwa mwisho wake ni mbaya tu, hana namna ya kuukwepa.

Lakini Mungu ni Mzuri na ni Mkuu sana, hana mpinzani.

Ni hayo tu.
Shetani aliwezaje kuwa shetani?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hakutambua kwamba shetani atakuja kuwepo?

Au ameamua huyo shetani awepo kuwapotosha wanadamu?

Kwa nini Mungu haku uumba dunia isiyo na shetani na ubaya?
 
Mkuu,

Nikikuambia kwamba, kuna binti mchanga wa miezi 6 leo, ambaye ni mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo, utakubali habari hiyo kuwa ni ya kweli?
Japo hujaniuliza ila nikujibu.

Linawezekana katika mazingira ambayo time travel ni possible.

Uhalisia ni nini? Mtoto wa miezi 6 kuwa na kijana wa miaka 30 siyo uhalisia kwa sasa kwa sababu ya tunachokijua kuhusu muda kutoruhusu hilo. Ukisoma biblia kuna sehemu inasema miaka 1000 sawa na siku 1 na siku moja sawa na miaka 1000 meaning misingi ya muda kama tuijuavyo ni tofauti.

Sasa kutokujua siri za muda haimaanishi kwamba uhalisia wa muda na siri zake umefungwa kwa kiwango cha tunachokijua kuhusu muda.

Huenda kuna siri nyingi sana ambazo tukizijua basi mtoto wa miezi 6 anaweza kuwa mama wa kijana wa miaka 30. Binadamu bado tuna safari ndefu sana kutoa mahitimisho ya kimihemko kuhusu jambo lolote.
 
Binafsi Nafahamu ipo nguvu ( energy ) inayoendesha maumbile yote ,yanayoonekana naya sio onekana.

Haijalishi unaamini au hauamin sisi wote ni matokea ya mabadiliko ya nishati .

Nishati hii ipo kwenye mwendo ,katika hali ya frequency mbalimbali, kuna frequency za juu zaidi na za chini zaidi za maumbile , ndio maana vile vitu vyote vilivyopo kwenye mwendo wa frequency ya chini huwa vinaonekana vizuri kifizikia .

Kila kitu kinachotokea kwa mtu au vitu kinategemea sna low of attraction ,(nguvu ya uvutano ) mfamo ukijihusisha sna na mawazo hasi lazima uvute matokeo hasi kutokana na nguvu hasi , vile vile kwa mawazo chanya huvuta matokea chanya , kutokana na nguvu chanya,Na hapa ndipo tunapata ubaya na uzuri , na dhana ya Mungu na shetani ndipo ilipozaliwa .

Kila binadamu au maumbile yoyote unayoyaona na usiyo yaona yamezungukwa na hii nguvu kuu, pia unaweza kuita nguvu hii (life energy. ) Au nguvu ya uhai. Pale life energy inapopungua husababisha mwili kuwa dhaifu , na inapotoweka kabsa kiumbe hufa, apa kwenye kufa sio mwisho ni badiliko tu la kiumbo la ile nguvu , cause energy can be created nor destroyed but can change from one form to another form and its vice versa, Yan kama maji ,mvuke na barafu then yanajirudia tena. Au mfano ya mbegu ,inapochimbiwa chini na kuoza sio kwamba mbeguu imepotea," laa hasha", hizo ni hatua moja wapo za badiliko la kiumbo .

Kwa sababu tumetengenezwa tuwe kwenye box ( matrix) inakua ni ngumu sna kujiunganisha na asili au nguvu , vipo baadhi ya vitu vinatushughulisha ili tusiweze kujitawala na kutambua nguvu zetu , mfano dini, elimu , utafutaji wa pesa na nk , hivi vitu vipo ili Binadamu asiwe na uwezo wa kujitawala pekee yake ,ili atawaliwe na kikundi cha watu wachache( serikali) .

Binadamu ni sehemu moja wapo ya hiyo nguvu kuu ,( dini iliyoiita Mungu ) pamoja na maumbile yote yanayoonekana na yasio onekana ,Ndio maana baadhi ya watu walio tambua nguvu hii waliweza kufanya mambo makubwa , mfano Yesu na wanasayansi wakubwa . Ni sahihi kabsa Yesu aliposema yeye na baba ni kitu kimoja , kama mimi na wewe tulivyo kitu kimoja yaani Mungu katika badiliko la kiumbo la kifizikia . Yesu ata kuuliza nilikuja kwako hukunivalisha , wewe utasema ulikuja kwangu lini ?, kumbe alikuja kwa njia ya badiliko ya kifizikia yaani sisi . Jiulize tunatoa sadaka kanisani na misikitini then hizo sadaka tunasema tumemtolea Mungu alafu zinaliwa na sisi sisi . Je apo Mungu ni nan kama sio sisi sisi ?

Note: sio lazima kila mtu awe macho .
 
Inawezekana ulichoeleza kina ukweli esp hapo kwenye energy na hata ukitazama eco-system ni kama inathibitisha unachosema.

Swali ni kwamba, Ni nani au nini kimeifanya hii energy iwe kwenye mfumo?

Mfano tunajua kabisa energy inayosababisha umeme uwake ndani ipo ila ni binadamu ndiye aliyeiweka kwenye mfumo wa kusababisha umeme uwake nyumbani.

Sasa energy inayosababisha uwepo maisha kama tuyajuavyo ni nani au nini kimeiweka kwenye mfumo mpaka Duniani kukawa na maisha?

Yaani Likawepo jua ambalo dunia haipo karibu nalo wala haipo mbali sana ila ipo sehemu sahihi kabisa kuwezesha uwepo wa viumbe hai.

Ikawepo jupitar gas giant ambayo mvutano wake unaruhusu mawe makubwa yelekee kwake badala ya kuja duniani yakahatarisha uwepo wa maisha.

Kwa ufupi mfumo wa energy umesukwa vizuri kana kwamba kuna inteligency behind. Haya ndo maswali ambayo ni nguzo kuu ya imani ya uwepo wa MUNGU kuexist. Once binadamu atakapopata majibu, moja kwa moja hii imani itapotea au itathibitishwa usahihi wake.
 
Kama sisi ni intelligent kwa kiwango chetu na ni sehemu ya badiliko tu la hiyo nguvu, vipi kuhusu hyo nguvu ikiwepo kwenye umoja wake bila kujigawa?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama sisi ni intelligent kwa kiwango chetu na ni sehemu ya badiliko tu la hiyo nguvu, vipi kuhusu hyo nguvu ikiwepo kwenye umoja wake bila kujigawa?
Energy haijatengenezwa wala haiwezi kuharibika wanataalamu wameishia hapo .
 
Hivi ni kweli watu wanaopinga uwepo wa Mungu wanaamini hivyo kwa mioyo yao? Sidhani!

Kama wapo, ni wachache miongoni mwa wengi wanaodai hivyo. Na kama kweli mtu hafahamu kuhusu uwepo wa Mungu na UWEZO Wake, ni sahihi kumwelewesha, lakini kama anapinga kwa lengo la kupinga ni kupoteza muda kujaribu kumweleza.

Nina mashaka kuwa huenda wanaodai Mungu hayupo, hawafanyi hivyo kwa sababu hawajui, bali wameamua kuwa wapinzani wa Mungu. Kwa lugha nyingine, wameamua kwa hiyari yao kumsaidia Shetani kuwapotosha watu wa Mungu.

Na kama mtu kachagua kuwa upande wa Shetani, ni busara kujihadhari unapoamua kumjibu. Labda, anatafuta ama kukukwaza tu au kuidhoofisha imani yako. Usimpe hiyo nafasi.

Shetani hajabadilisha mbinu. Si mbunifu. Mbinu zile zile alizozitumia zamani kuwaangusha watu wa Mungu ndizo anazozitumia hata sasa.

Unakumbuka alivyomdanganya Eva? Alijua fika kuwa Adam na mkewe waliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, lakini bado aliwaambia wakikaidi Maagizo ya Mungu, watafanana na Mungu.

Watafananeje na Mungu na huku walikuwa wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu? Tayari walikuwa wanafanana na Mungu! Shetani alichotaka ni kuwafanya wamkosee Mungu kwa kukaidi Agizo Lake kwao.

Alimwambiaje Yesu? Alifahamu kwa usahihi kabisa kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, lakini bado alijaribu kumtia mashaka kwa namna ile ile aliyowaangusha Adam na Eva. Alimwambia, "Ikiwa Wewe ni Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate"

Hizo kauli zilizotumiwa na Shetani kuwaangusha Adam na Eva dhambini na aliyojaribu kumlaghai nayo Yesu zinatofautianaje na za watu wanaotaka wathibitishiwe kuwa Mungu Yupo?

Shetani alilenga kumfanya mwanadamu wa kwanza asimwamini Mungu, akafanikiwa. Ndicho alichokusudia pia kwa Yesu, lakini akaangikia pua.

Ni bora unapoona watu kama hao wameibua maswali yenye lengo la kukejeli au kubishana, ukakaa kimya, au ikibidi kuwajibu, ukafanya hivyo kwa tahadhari. Labda tu kama itabainika kuwa lengo lao ni kutaka kujua na si vinginevyo. Kinyume na hapo, ni kupoteza muda kubishana nao.

Akikukejeli, usimrudishie. Ukimrudishia kejeli ni sherehe kwa Shetani. Ndicho anachotafuta. Anataka umkasirishe Mungu.

Akikutukana, kaa kimya. Shetani angetamani na wewe ungetukana, tena kwa tusi kubwa kuliko la aliyekutukana.

Chunga usemi wako. Ukiona utakachokisema hakitakuwa na msaada, ni bora ukae kimya. Au umjibu kwa kumkumbusha kuwa Mungu anampenda. Akijibu kwa jazba, endelea kumwambia, "MUNGU ANAKUPENDA", halafu utaona kama ataendelea na kejeli zake au la.

Narudia tena! Wengi wa wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu huenda wanafanya hivyo kwa lengo la kupotosha wenye imani haba, na si kwamba hawajui kuwa Mungu Yupo.

Shauku ya Shetani ni kuona kuwa watu wengi wanaamini Shetani hayupo. Anajua akifanikiwa kuwaaminisha kuwa hayupo, ataweza kuwaaminisha pia kuwa Mungu hayupo. Akishindwa kuwaaminisha hivyo, atatafuta mbinu ya kuwafanya watu waamini kuwa ana nguvu sana.

Shetani ni muongo na baba wa uongo. Maisha yake ni uongo. Usiiingie kwenye mtego wake.

Mungu Yupo, tena Yu Hai. Na Shetani naye pia yupo, na anajua kuwa mwisho wake ni mbaya tu, hana namna ya kuukwepa.

Lakini Mungu ni Mzuri na ni Mkuu sana, hana mpinzani.

Ni hayo tu.
Zaidi ya asilimia 99% huwa ni mawakala wa shetani. Usione hivyo muda wanapokuwa wanapinga, nao wanakuwa wako kwenye mavuno kama ambavyo wewe huwa unafanya mikutano ya injili ili kuokoa roho za watu
 
Inawezekana ulichoeleza kina ukweli esp hapo kwenye energy na hata ukitazama eco-system ni kama inathibitisha unachosema.

Swali ni kwamba, Ni nani au nini kimeifanya hii energy iwe kwenye mfumo?

Mfano tunajua kabisa energy inayosababisha umeme uwake ndani ipo ila ni binadamu ndiye aliyeiweka kwenye mfumo wa kusababisha umeme uwake nyumbani.

Sasa energy inayosababisha uwepo maisha kama tuyajuavyo ni nani au nini kimeiweka kwenye mfumo mpaka Duniani kukawa na maisha?

Yaani Likawepo jua ambalo dunia haipo karibu nalo wala haipo mbali sana ila ipo sehemu sahihi kabisa kuwezesha uwepo wa viumbe hai.

Ikawepo jupitar gas giant ambayo mvutano wake unaruhusu mawe makubwa yelekee kwake badala ya kuja duniani yakahatarisha uwepo wa maisha.

Kwa ufupi mfumo wa energy umesukwa vizuri kana kwamba kuna inteligency behind. Haya ndo maswali ambayo ni nguzo kuu ya imani ya uwepo wa MUNGU kuexist. Once binadamu atakapopata majibu, moja kwa moja hii imani itapotea au itathibitishwa usahihi wake.
Sasa mkuu,

Energy yenyewe Kisayansi wanadai kwamba [emoji116]

"Energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another"

Sasa "Energy" iliwezaje ku Exist kutoka kwa kutokuwepo kitu?
 
Zaidi ya asilimia 99% huwa ni mawakala wa shetani. Usione hivyo muda wanapokuwa wanapinga, nao wanakuwa wako kwenye mavuno kama ambavyo wewe huwa unafanya mikutano ya injili ili kuokoa roho za watu
Upendo huvumilia , hauhesabu mabaya , hautafuti mambo yake , haujivuni , kuwa na upendo na ujibu hoja kwa nia njema yakutambua yaliyofichwa , inawezekana kabsa ukajua jambo kupitia apa ili utoke hizo level za chini za kuamini na sasa ujue kabsa.au bado wewe ni mtoto mdogo unastahili maziwa tu na sio chakula?
 
Je "Energy" iliwezaje kuwepo( ku exist) kutoka kwa kutokuwepo kitu?
Watafiti waiishia kusema nishati haiumbiki wala kuharibika wote sisi ni matokeo ya nishati bila nishati hakuna maada ,bila maaad na nishati ata neno hakuna chochote halitakuwepo yani haiwezekani nishati isiwepo.
 
Je Nishati yenyewe iliwezaje kuwepo kutoka kwa kutokuwepo kwa kitu?

Yani kabla ya uwepo wa nishati, Nini kilikuwepo kabla?
 
Kama sisi ni intelligent kwa kiwango chetu na ni sehemu ya badiliko tu la hiyo nguvu, vipi kuhusu hyo nguvu ikiwepo kwenye umoja wake bila kujigawa?
Unachosugest ni kuwa kuna uwezekano kuwa nguvu hii haikuwa imegawanyika hapo kabla na ndio matokeo ya uwepo wa mfumo uliopo?
 
Back
Top Bottom