Usichukulie poa, nyumba ni choo

Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Screenshot_2020-03-11-14-04-59.jpeg
 
BALAAA WENGINE TUNAMAUMIVU MPAKA TUTEST TULISHALIPIA MABALOON YA NCHINA YAKAPASUKIA CHUMBAN KUSHIKAZIGO MNAANGALIANA ANAKWAMBIA USIOGOPE NTAKYONYESHA MIIUJIZA KHA SINAHAMUNAYOO
 
Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ?

Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya .

Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma.

Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut

Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa.

Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi.

Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi.

Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5

Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.

Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo mgongoni.

Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.

Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko wale wenye makalio wastani.
Screenshot_20220121_134813.jpg
FB_IMG_1642761455530.jpg
images (3).jpg
 
Yaani kama ni pepo basi hili pepo la kalio kubwa lina nguvu sana asikudanganye mtu wanaume tunapenda mwanamke mwenye kalio na akipita usipogeuga yaan unahisi na kujiona kabisa kama umepungukiwa na kitu hivi na kama hujageuka physical basi kindanindani ya moyo na ubongo umeshageuka kitambo sana.

Na kama ni dhambi dah hii dhambi hakuna mwanaume ambaye hajafanya labda awe na kasoro lakini kama amekamilika atajizuia kwa vile mke wake upo Jirani tu la sivyo anageuka hata kwa kuibia kijicho kengeza atapiga chabo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom