Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Acheni dhambi nyie.....tumtu twa hvo tunakua na akil nying sanaPia tumtu twa hivi tunakuaga na roho ya kwanini. View attachment 2091578
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni dhambi nyie.....tumtu twa hvo tunakua na akil nying sanaPia tumtu twa hivi tunakuaga na roho ya kwanini. View attachment 2091578
Akili itoke wapi?Acheni dhambi nyie.....tumtu twa hvo tunakua na akil nying sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwani makalio ndiyo yanayolipa kodi ya nyumba? Au nyinyi muna ajenda zenu za siri kwenye mtaa wenu?Pia ni self defence..
Mtaani kwetu mwanamke bila kalio kubwa hata nyumba ya kupangisha hupati hata ulipe kodi miaka yote uliyobaki nayo hupati ng"o
Me sisemi tena mkuu!Akili itoke wapi?
Hivi kibailojia kuna uhusiano gani kati flatscreen na roho mbaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana kwa zawadi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chukua zawadi hioooView attachment 2091607
[emoji39][emoji39]Ugali kidogo nyama nyingiView attachment 2091643
Hao waliokosa nyama waambie wapunguze makasiriko[emoji39][emoji39]
Upo sahihi Mkuu..lakini ni dhahiri kuna ukweli na ndiyo maana wanawake siku hizi wanahangaika kweli kutengeneza miili yao kwa maana nyingine wameona kuna wateja ndiyo maana kila mmoja anataka awe na shape na mwanamke anajiweka vizur na kujipamba kwa ajili ya mwanaume na wala sio kingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umepiga mule mule, you're a psychologist for sure! Vinapenda kujiremba hatari, makeups n.k, kifupi vinapenda urembo sana, vikatili mno!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hutu tudada tulionyimwa nyama hua tuna roho mbaya kwelikweli, halafu tunajiskia na tuna nyodo kama nini, halafu vingi vyao ni viselfish.
MisambwandaJe wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ?
Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya .
Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma.
Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut
Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa.
Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi.
Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi.
Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5
Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.
Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo mgongoni.
Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.
Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko wale wenye makalio wastani.View attachment 2090385View attachment 2090386View attachment 2090388
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]tunawapenda wakweli kama wewe [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ni kweli tunapenda. Hilo halihitaji utafiti