Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Kupendana zamani sikuhizi biashara tu , nikama haya madini na manabii sijui mamitume ya uongo , wazazi wetu ndio walikua wanajua upendo sisi hamna kitu
 
Uzi wa mwezi huu!
Big up kwa somo kuntu😊
 
Kabisa mwandishi anajazba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujifariji mzee baba bila jiwe mahusiano ya ke na me yanakuwa na breakdown nyingi sana
 

1, kuna jamaa alikua na pesa nyingi na yuko vizuri kiuchumi siku akamualika mtumbuizaji wa violin kwenye kisherehe kidogo alikifanya kwa ajili ya birtday ya mwanamke wake huyo lakin mwisho wa siku yule mwanamke aliliwa na wakaoana na mshkaj
2. kuna jamaa mmoja alikua hayuko vizuri kiuchumi alikua anafanya vibarua vya ujenzi mwisho wa siku mkewe akachukuliwa boss aliyekua aamjengea nyumba na akamuoa
3. kuna mdada mmoja alikua anatoa usgahid kwamba aikua na mme wake amabaye alikua anamridhisha kwa kia eneo ila akamuacha maana alivuiwa na kijana mwingine na akaolewa naye akaja kukuta kuwa jamaa huyu mpya ni mchovu kitandani kuliko yule wa mwanzo akamtafutia dawa mpaka wakaenda vizuri
Mimi nakazia tuu kwamba kwa dunia hii uwezo wa kufanya mapenzi na pesa kwa mwanaume ndio zitakupungunzia pressure na ukiwa nayo vyote sio kwamba ndo hutagongewa kugongewa kuko pale pale ila tuu unakuwa comfortable na maisha ila ukikosa kimoja kati ya hivi unakua na wasiwasi
Mwanaume lazima uwe na leverage maana wanawake hutanguliza hisia then maslahi kimoja na ni jukumu la mwanaume kuhakikisha una toa vyote ili angalau apunguze wenge ila sio kutulia kabisa mpaka aamue mwenyewe
 
Wewe mwandishi ni misogynist (mchukia wanawake) uliyekubuhu unayejaribu kwa nguvu zako zote kutuaminisha maoni na mitazamo yako binafsi kuhusu wanawake iliyojaa chuki. Siyo kweli hayo unayoandika...
Hoja hupingwa kwa hoja..
Kama aliyoandika mleta mada si kweli, kweli ni ipi?
 
Mwanamke hawezi kukupenda bila ya wewe kuwa na kitu

Ukiona huna kitu na anakupenda jua anamatarajio utafanikiwa hivi karibuni.
Muoe alafu ipite miaka mitano alafu haoni mabadiliko ndio utaelewa nilichokiendika
Utasikia siwezi kuishi na mtu asiye na Malengo.
 
Hoja hupingwa kwa hoja..
Kama aliyoandika mleta mada si kweli, kweli ni ipi?
Wee jamaa naona tokea jana unaniandama. Huyo Mwandishi aelewe kuwa Wanawake aliowazoea huko kwao Kishimundo au hata Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla hawafanani kihulka au kitabia na Wanawake nje ya sehemu hizo sababu ya tofauti za kimazingira ya jamii husika. Mfano: Ukienda nchi zilizoendelea kiuchumi za Ulaya, Mwanamke kwa kawaida huwa hamtegemei Mwanaume kiuchumi, na wote wanachangia sawasawa, hata mambo ya kawaida kama kwenda pub/restaurant, Mwanamke anajilipia na anaweza kumlipia Mwanaume pia. Ishu hapa ni Mfumo Dume uliokithiri na kutawala jamii za Tanzania, mfumo ambao unawashusha Wanawake kwa kila namna haswa kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…