Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

Huu ni ushauri wa ovyo sana, mwisho wa siku utasema wakajaribu na nanihii

1000030173.jpg
 
We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula.

Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja.

Nunua mishkaki

Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
Ukiona udongo pia nunua kula... ukiona manjano nunua paka usoni yaani hata zile chachandu chukua jaribu tu... tupo na wewe mpaka ubadilishwe jina mwaka huu
 
Back
Top Bottom