Mwisho utakuja kusema wanawake wanapenda kukalia uboo,nawewe utakuja kuukalia,ndio unapoelekeaWe jaribu kununua ice cream za bakhresa kula.
Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja.
Nunua mishkaki
Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.