Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Jibu swali languKwann mshangazi wetu
Jibu swali languKwann mshangazi wetu
Mshangazi tunakupebda Sana.Jibu swali langu
🚮🚮Mshangazi tunakupebda Sana.
Mtie auibu jamaa, tuma picha kudhibitisha wewe ni mlimbwende.
Sina haja ya kuprove chochote kwa yeyote mkuu, kwa wakongwe wa jf kuna uzi unaitwa selfika na jf tulishatuma sana picha zetu mule sasa hivi tumeshaachana na hayo mambo, na kuna watu nafahamiana nao nje ya jf nafikiri hao wanatosha hawa wengine ni stress tu zinawasumbuaMtie auibu jamaa, tuma picha kudhibitisha wewe ni mlimbwende.