Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula.

Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja.

Nunua mishkaki

Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
Ukiona udongo pia nunua kula... ukiona manjano nunua paka usoni yaani hata zile chachandu chukua jaribu tu... tupo na wewe mpaka ubadilishwe jina mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…