Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

Inaelekea kuna kampeni maalum..
 
Hizi eet sum mor, oreo na snickers ni tamu hua naonja nikiwapelekea wanangu na wife.

Hapo Vijana kuna wazenji wanauza pizza zao local wife hua ananiagiza, nikaonja. Ni tamu pia.

But huwezi amini hua sitoki naenda kununua hivi vitu kwaajili yangu, yaani wao ndiyo watoa oda.

Mimi nikitoa hela kwaajili ya kitu changu, ni tangawizi au gym. Mleta uzi upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…