Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Nimejikuta natamani kusikia mengi toka kwako, pia upewe nafasi ya kuielezea dunia inavyozidi kupotea juu ya hiyo 50/50. Hongera sana kwa kulitambua hilo gape.
 
Umetisha sana
 
😂😂
 
Atakayekuelewa, atanielewesha namm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…