Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Nimejikuta natamani kusikia mengi toka kwako, pia upewe nafasi ya kuielezea dunia inavyozidi kupotea juu ya hiyo 50/50. Hongera sana kwa kulitambua hilo gape
.
Asante na karibu
 
Umetisha sana mwamba 💯💯
 
Warereeeee....umeandika
 
Ni ndumba sio kawaida
 
Sasa huyo dada mwenye hela hivo si amfungulie mwenzio biashara, anaona raha kumfuga huyo mume.
Una uhakika gani hajamfungulia? Anakula mtaji, biashara ina mwaka na inaingiza faida ila kodi ikiisha anatakiwa alipe mwanamke, madeni ya mume analipa mwanamke, kwenye biashara anaweka vimada, alishawahi kuwa na biashara kubwa tu ila bado haridhiki. Nyie wanaume mngekua mnakubali madhaifu yenu mbona maisha yangekua simple sana.

Yaani hadi natamani nimtaje maana yupo humu na anasoma. Oyaa si uje uelezee
 
Dadadadeki viumbe wa hivi hawapo siku hizi
 
Nikifa taarifa mtapata usijali kabisa bwanah ukimya nahisi uzee niliokuwa nao nakuwa mvivu vivu tumewaachia vijana
Muwe na tabia ya kuaga aga mnapokaribia kufwaaa😂😂

Sio mpaka tuletewe taarifa.

Familia yako haijambo?
 
Umetisha sana, nakuomba PM mara moja kidogo tuchati, most of these men kama wazazi wa mwanamke hawajamstua wanaume aina hii nguvu zao ni uchawi na kuteka nyota za mwanamke, wengi ni watundu uchawi ndio nguzo zao, wanaweke fundo la kupendwa kivyovyote vile na hao wanawake zao na hawana aibu, bila kupambana imeisha hio. Na hio sometimes ni laana ya kukataa genuine men before venturing into a hyena project
 
Carlos The Jackal vipi nikitaka mwanaume anipende zaidi tukitoa ya kumtiii nakumheshimu nitumie mbinu gani nimteke akili yake zaidi,maana hayo uliyoandika ndio anayoyafanya huyu mwamba [emoji122]
 
Huyo ni mchawi anatumia ulozi kuishi hayo mahusiano, amini hilo, I happened to have a sister a cousin ni boya hivyo hivyo mwanaume ni mnyamwezi huyo mume sasa ni Marehemu kamtesa sana sister, uchawi ni kitu kibaya sana sana, wanaoroga ndio wanaofaidi mapenzi siku hizi
 
Carlos The Jackal vipi nikitaka mwanaume anipende zaidi tukitoa ya kumtiii nakumheshimu nitumie mbinu gani nimteke akili yake zaidi,maana hayo uliyoandika ndio anayoyafanya huyu mwamba [emoji122]
Nashauri zungusha sana mauno, kaaa kitako nyumbani, asikushuku kuchepuka, pika chakula vizuri, usafi, Lea watoto vizuri, moangilie mavazi,
 

Soph nisikufiche
Ukiweka hilo akilini Hakuna mwanaume utashindwa ishi nae
Mwanaume atimize yake kikamilifu
Na wewe timiza yako kikamilifu
Kila mtu ajue wajibu wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…