Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Kama huna akili bora usioe maana mmeambiwa muishi nasi kwa akiliHahaha sawa wacha nitulie zangu maana mie akili sina nipo nipo tuu kama bonzooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna akili bora usioe maana mmeambiwa muishi nasi kwa akiliHahaha sawa wacha nitulie zangu maana mie akili sina nipo nipo tuu kama bonzooo
Sasa lakini nisipooa jamani hii tomba tomba nyu hi mupya nayo inafika wakati u achoka. Unataka na wewe kidume upetiwe petiwe au kunyonyeshwa kama mtotoKama huna akili bora usioe maana mmeambiwa muishi nasi kwa akili
Ndio hivyo uazime hata akili ili uweze kuoa. La sivyo utajutaSasa lakini nisipooa jamani hii tomba tomba nyu hi mupya nayo inafika wakati u achoka. Unataka na wewe kidume upetiwe petiwe au kunyonyeshwa kama mtoto
Akizingua unapiga chini u aleta pisi kali nyingine mnasogeza sikuNdio hivyo uazime hata akili ili uweze kuoa. La sivyo utajuta
Akili ya ndoa sio akili hii ya kawaida ndugu.Je una kifua, huna uvumilivu, imani,Hahaha sawa wacha nitulie zangu maana mie akili sina nipo nipo tuu kama bonzooo
Mie nilishasema sina akili so wacha niendelee na kugegeduana na vitoto vya form four BAkili ya ndoa sio akili hii ya kawaida ndugu.Je una kifua, huna uvumilivu, imani,
DuhhTofauti nasie Me, Mwanamke anaposaliti kuchepuka ,ameamua kufanya hivo Kihisia, na hii inamaana Akili yake yote inakua imeshajikubali na ipo tayari kwa lolote.
Sasa Basi, Unapotokea umegundua Mkeo, mwanamke wako Kakusaliti, ama umefuma Namba za huyo jamaa na meseji. Ama ni taarifa tu unazopewa nakweli zina uhakika 100%.
[emoji117]USITHUBUTU KUMTAFUTA HUYO JAMAA IWE KWA KUMPIGIA SIMU ,IWE KWA MESEJI, IWE KWA KUMTAFUTA LAIVU ET MUONGEE, VITISHO N.K
[emoji117]USITHUBUTU KUMGOMBEZA MKEO KWA MANENO KAMAA
---kwahiyo uyo jamaa ni bora kama mimi
---Nakulishaa, nakuvishaaa, unaniona boyaa
----unakoswa nn kwangu
----Nakutunza mpaka ndugu zakoo
---Unaniona mie mnyongee
(Broo hayo yote anayajua ,lkn bado aliamua kuchepuka).
alafu wakati huoo huoo, mkeo au mwanamke wako ukaamua kumpa adhab ndogooooooooo ...
Nakuambia, Atakupa K. Utapiga, utasahau, siku mbili zijazo atampelekea muhuni K na ataipiga kama kawa.
Unajua kwann??? Kwa sababu kitendo chako kumtafuta yule Jama..
kwanza kitamfanya Mwanamke awe na huruma sana ,nakujiona yeye ndo kamuingiza Muhun matatizoni ivo lazima ampe Pole kwa kumpa papuchi.
Pili, kwa kumpa adhabu ndogoo,kutamuaminisha kua Huwezi kumuacha !!.
Ufanye nini sasa???.
2-[emoji117]Kama wee ni Don , pambana na anayekugongea mkeo kimya kimyaa. Yaan kimya kimya kama hii michezo ya kinondon, ukimya ambao Utamfanya Jamaa amuogope kama ukoma mkeo. Wakati huohuo nawee unakua sehem salama kisheria...hiii 50-50 , kama mkeo ndio hulika yake, basi akiona jamaa anamkwepa, akitongozwa na mwingine basi ataendelea kupigwa
1-[emoji117]MTESE KIAKILI KIKWELIKWELI MKEO , hapa usimuonee huruma wala nn. Hakikisha unamtesa akili kweli kweli kwanza mfanye ajue umegundua anakusaliti yaan HAKIKISHA AMEJUA KUA UMEJUA KUA ANAKUCHEAT ,Kisha anza kumpa mateso ya akili , kama kulia alie mwezi mzima, hamna kumsemesha ndan wala nn, hamna kula chakula chake, hamna kumshirikisha lolote. Hamna chochote, badili ratiba zako za kuja home nakurudi , kua bize usiku nasimu nakuongeaaa, jifulie , au beba nguo kwa begi peleka kwa dobi zifuliwe jion uje nazo zimeshanyooshwa, usimguse wala kumuomba K, ikiwezekana lala chumba kingine , Wakati huohuo fanya mabadiliko yaan kama kupendeza zidisha kupendeza, ukiondoka acha Ela yake yakula mezani. Kikubwa hakikisha humpi sababu ya kukusemesha....ikiwezekana mrudishe kwao kwanza lkn usimsemee kwa nduguze au nduguzo kwasababu lengo ni kumfunza ila bado unamuhitaji.
Mwezi tu ,utaona Majibu.
Hio ni kwa wale ambao hamuwez kumuacha Mke kisa Unampenda mara umemtolea mahari.
Kwa wenzangu namm, makauzu, ambao tunajiamin, ambao tunauhakika wa kua na mwanamke na kuanzisha mahusiano mapya na familia mpya.... MWANAMKE MSALITI USIMPE NAFASI YA PILI WALA MSAMAHA , YEYE NI MOJA KWA MOJA KUMBEBESHA KILICHO CHAKE, CHENYE JASHO LAKE, ASEPE ZAKE !!
utajiepusha na Kufa mapema, ieleweke kua, Mwanamke anapoanza kukusaliti wewe Mume wake, ujue muda wowote Kufa kwako kupo njian nakupo kwenye mawazo yake, Kama hakupo basi anawaza namna ya kukupumbaza ili mradi kwako aendelee kupata mahitaji na Jina la heshima kua "Mke wa Fulani" lkn kiroho Hayupooooooooooo
Ieleweke pia, Mke anachepuka, lkn hawanaga uhakika kua huko anapochepukia, ikitokea umemuacha ,Ataolewa au haolewi??? Wanajua kabisa.
[emoji117][emoji117]BAHATI MBAYA SANA NI KWAMBA, UKIONA MKEO ANACHEPUKA, UJUE NAWEWE ULISHACHEPUKAAAAA KITAMBO NA WENDA UNAENDELEA KUCHEPUKA.
[emoji117][emoji117][emoji117]NAKAMA WEE HUCHEPUKI. BASI TAMBUA KUA, KUNA MAISHA YA MATESO UNAYEMPA MKEO .
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]KAMA NAHAPO HAUPO, BASI UJUE, ULIKOSEA KUCHAGUA, NAKWAMBA UMEOA MWANAMKE AMBAYE ,KUCHEPUKA NDIO HULIKA YAKE YAAAAN UMEOA MKE WA WATU[emoji1]
Tumia akili we MshangaziSi umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Watu km hawa Wana Narcissist disorderHuyo ni nunda, kufikiri atajutia kosa ni sawa na kusubiri embe idondoke kutoka kwenye mnazi! Ni aina ya mabinti jeuri ni ksma kunguru wa zenji[emoji23]!