Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

eenh Wanyaru tumefanyaje tena hapa c tulisema tunaongelea kuchepuka[emoji849]

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 

🀣🀣🀣🀣🀣umeandika kwa hisia sana

Sijawahi kuwa na wanaume design hio
Mimi mwenyewe najijua huwa natafuta mwanaume mtata kidogo hao wepesi nitawaonea bureee
Sasa katika nyie watata mna hitaji kuwa na akili timamu sio mambo ya drama
Tukishindwana tuachane usiniletee michezo michezo ya kuniumiza nakuhakikishia utaumia mwenyewe
 
Umeota sugu, vipi ushaolewa Mara ngapi mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingine, ndoa haitakiwi kuwa na mazoea, si kwa mwanaume na si kwa mwanamke, maana mahusiano yanahitaji ubunifu
Upo sahihi... namoja ya changamoto za mahusiano ni kuanza kuishiana kwa MAZOEA


Ubunifu ni muhim katika kuhakikisha kila siku mahusiano yanakua mapya lkn siwengi Wetu tunaishia kuaema bize kutafuta hela, so hamjali tena ???
 
kama kwel utaweza kuhimili hayo bas wewe utakuwa umeisha kuwa malaya (kahaba) tayari
 
kama kwel utaweza kuhimili hayo bas wewe utakuwa umeisha kuwa malaya (kahaba) tayari
 
Mwanamke Mzinzi hana formula, ana sababu tu za uzinzi wake mfano:

Tamaa ya ngono isiyodhibitika(wale wa ana kibamia, hanitoshelezi n.k)
Tamaa ya fedha (Huyu hata ukimpa fedha hazitatosha)
Mihemko(Wale penda penda wa ghafla, wanaopagawa na cuteboys)
Udhaifu wa mwanaume(Mwanaume muhuni au hajali, au katili) n.k
 
πŸ€”πŸ€”
Marital status: Divorced/Single
Age: 18 - 40
Misc: Financial stable/Bachelor degree holder, could be single mother already.

Dhahania tu
πŸ‘†πŸ‘† Msome apo utajua akili yake
Maya Angelou ujasiri alionao anaupata kwa sababu ya kushobokewa na wanaume, so anaona maisha laisi tu wanaume wapo wengi wa kunipa ninachokitaka na kufanya nifurahi.
Ni vizuri.

My advice to Maya Angelou , Siku ukiona mambo yanaenda Mlama, Mrudie Mungu kwa moyo mmoja. Kwani Yeye hutusaidia bila kujali matendo yetu.
 
Muda muhimu sana kutenga lakini pia hakuna kitu kikubwa kinachojenga au kuvunja mahusiano zaidi ya MWASILIANO
Ni kweli kabisa na upo sahihi .

Mawasiliano mawasiliano nikiungo muhim sana, huziba ombwe ambalo km unglipa nafasi lingeishia kuzalisha hiki nilichokiandikia hapa.

Shida nikwamba, wengi wetu hatujui mambo madogo madogo kama haya ndio hutuongezea Thaman kwa wenzi wetu.


Matokeo yake, Ke anapata muhun wakuweka karibu kimawasiliano, mara hao ukaribu wa kihisia haooooooooo Kugongana.
 
Jitahidi mkuu kuwa na logic
Mwanaume anaekimbilia kumuita mwanamke kahaba au malaya mi huwa naona anamtukana mama yake binafsi,mwanaume anaemtusi mama yake huwa hana soni
You can be better than that my friend,cheers
sijatukana bali nimetoa moja ya sifa za mtu ambae ni kahaba, kuwa yeye hawez umia kwakuwa umekatisha nae mawasiliano ndani ya nyumba, wala ategemei kuwa mme/ mke wake nisehem ya furaha yake. Yeye yupo kwaajir ya kitu tu bas
 

Asante malaika mkuu kitengo cha mahusiano [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nilishavuka huko though
 
Duu Ilirch Ramirez.. hahaaahaaa umeua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…