Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye usalama sasa ndio siwezi kubet ni timing tu,so siwezi kusema sana
Ukiona nimekaa kimya na una uhakika wa asilimia mia, kuwa nimejua nyendo zako!!! Usibet!! Utaumia! kimbia tu uondoke wala usimshirikishe hata ndugu yangu yeyote wala ndugu yako, wala padre au wazee wa kanisa!!! Nina uhakika kabisa nitawakosea heshima na wala sitatubu!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mbona mi hivyo vitu havinitishi,nikikuomba msamaha nina limit ya siku za kuomba after that utajijua mwenyewe kama utanisamehe au la,ila hizo drama za kutokulala chumbani etc poa tu tutaishi hivyo hivyo siku yakiisha sawa yasipo isha sawa pia

Hii ulioandika ni kwa wanawake wanao amini furaha wanaipata kwa mume tu[emoji28][emoji28][emoji28],kwa mapigo hayo lazima wadate
Utakuwa single mother, si kwa uzoefu huu
 
Ukiona nimekaa kimya na una uhakika wa asilimia mia, kuwa nimejua nyendo zako!!! Usibet!! Utaumia! kimbia tu uondoke wala usimshirikishe hata ndugu yangu yeyote wala ndugu yako, wala padre au wazee wa kanisa!!! Nina uhakika kabisa nitawakosea heshima na wala sitatubu!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siongezi neno maana nna safari ndefu bado
 
Kwa taarifa ukikua ndio utajua vizuri.
Lakini tambua kila ndoa inachangamoto zake, na ina namna yake ya kuhandle.
So jua huna uzoefu wowote...
thanks.....kila mwanaume anapambana kivyake......kwanza alisema mleta mada (adhabu) ni nyepesi sana sababu hajui uhalisia,,,,amekariri, amesikia au ameona.....haijamtokea akajua uhalisia ulivyo........huwezi kumchagulia adui yako namna ya kupambana (vita)......vita ni vita......ndoa ni kama kambi ya jeshi....mbinu zote mnazo, once adui anapo-attack lazima ujipanze kupambana na kuhakikisha unashinda....but siku zote adui huanzia ndani........ukiweza kumtoa wa ndani wa nje ni kazi rahisi......
 
Sorry, niliuliza tu! If I did touch your feelings, it wasn't my intention.

Mtu simjui aguse hisia zangu?
Usijipe cheo kikubwa hivyo mkuu you’re just a random person
Nilikujibu kwa uzuri tu.,sorry kama umeisoma kitofauti[emoji4]
 
Jitahidi mkuu kuwa na logic
Mwanaume anaekimbilia kumuita mwanamke kahaba au malaya mi huwa naona anamtukana mama yake binafsi,mwanaume anaemtusi mama yake huwa hana soni
You can be better than that my friend,cheers
we hapo juu si ulisema unataka mwanaume mtata, huyo ndiyo aina ya mwanamme mtata anatukana anakupiga ana ku insult yaani utata wote anakufanyia

Sisi tusio watata hatakufai, komaa na watata wenzio [emoji16]
 
we hapo juu si ulisema unataka mwanaume mtata, huyo ndiyo aina ya mwanamme mtata anatukana anakupiga ana ku insult yaani utata wote anakufanyia

Sisi tusio watata hatakufai, komaa na watata wenzio [emoji16]

Huyo dada kabisa mtata gani sasa hapo
Kuna mwanaume huko mbele nimemsifia hao ndio type yangu
Soma uzi acha uvivu unadandia treni kwa mbele
 
sijatukana bali nimetoa moja ya sifa za mtu ambae ni kahaba, kuwa yeye hawez umia kwakuwa umekatisha nae mawasiliano ndani ya nyumba, wala ategemei kuwa mme/ mke wake nisehem ya furaha yake. Yeye yupo kwaajir ya kitu tu bas

Basi itakua maana ya kahaba huielewi vizuri au hujajua unataka kuongelea nini.. linapokuja swala la hisia za moyo hata hao makahaba huwa wanakuwa wapole, issue ya sister unaebishana nae hapo ni kwamba anajiweka yeye mbele kuliko mtu yeyote yani ni furaha yake kwanza kitu ambacho wanaume wengi wa Tanzania hamjazoea so maneno kama hayo lazima tu yatakutoka, mambo yamebadilika sasa hvi unapanda ulichovuna after all ukiona wanawake wana confidence hvo ujue ana hela halafu hana cha kupoteza kwa huyo mume..wanawake wengi sikuhizi tunatafuta mbegu na tunazaa watt tunaoweza kuwatunza sisi its not about you men anymore. Hii issue mpaka wanaume wa kiafrika mzoee itawachukua miongo mengine 5[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom