Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Mbona wote wamekuuliza hivyo hivyo unakwepa kujibu..?
Hata sijasoma kitu
Uzi wako umefukuliwa kule ..hahahhah
Mpaka hapa chaliii,mbona husemi asante mke mwenza unakimbia ninacho kujibu
Ukiona mwanaume anacheka cheka ujue anawashwaa
Usijifarague sana unaweza kukausha na watu watasahau
Mimi ndio Nina mme wa mtu nimekuuliza unamtaka na wewe hujibu?eti dada huyu mume wa mtu unataka na wewe tu share??
Naona hahahaha kwa wingi kicheko cha kujilazimisha utafika mpaka huhuhuhu
Umeona wapi mwanaume akamshinda mwanamke kwa maneno wewe?ati we ulisikia wapi?
Umesema uziii uzi upi tena jamanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]