Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Ndio yule mume wa mtu mwenye hela mama?Huyo dada kabisa mtata gani sasa hapo
Kuna mwanaume huko mbele nimemsifia hao ndio type yangu
Soma uzi acha uvivu unadandia treni kwa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yule mume wa mtu mwenye hela mama?Huyo dada kabisa mtata gani sasa hapo
Kuna mwanaume huko mbele nimemsifia hao ndio type yangu
Soma uzi acha uvivu unadandia treni kwa mbele
hahahahaaa,,,, wacha choko choko..... 😎 👍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa dada asante Ngoja nitafute mwingine wewe kweli umenitosa [emoji22]
Mbegu unazitafuta wapi?Basi itakua maana ya kahaba huielewi vizuri au hujajua unataka kuongelea nini.. linapokuja swala la hisia za moyo hata hao makahaba huwa wanakuwa wapole, issue ya sister unaebishana nae hapo ni kwamba anajiweka yeye mbele kuliko mtu yeyote yani ni furaha yake kwanza kitu ambacho wanaume wengi wa Tanzania hamjazoea so maneno kama hayo lazima tu yatakutoka, mambo yamebadilika sasa hvi unapanda ulichovuna after all ukiona wanawake wana confidence hvo ujue ana hela halafu hana cha kupoteza kwa huyo mume..wanawake wengi sikuhizi tunatafuta mbegu na tunazaa watt tunaoweza kuwatunza sisi its not about you men anymore. Hii issue mpaka wanaume wa kiafrika mzoee itawachukua miongo mengine 5[emoji3][emoji3]
Ndio yule mume wa mtu mwenye hela mama?
Nimemsoma, kumbe niko sahihi👆👆 Msome apo utajua akili yakeTrapped to a married man
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi. Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway. Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka...www.jamiiforums.com
Maya Angelou ujasiri alionao anaupata kwa sababu ya kushobokewa na wanaume, so anaona maisha laisi tu wanaume wapo wengi wa kunipa ninachokitaka na kufanya nifurahi.
Ni vizuri.
My advice to Maya Angelou , Siku ukiona mambo yanaenda Mlama, Mrudie Mungu kwa moyo mmoja. Kwani Yeye hutusaidia bila kujali matendo yetu.
Basi itakua maana ya kahaba huielewi vizuri au hujajua unataka kuongelea nini.. linapokuja swala la hisia za moyo hata hao makahaba huwa wanakuwa wapole, issue ya sister unaebishana nae hapo ni kwamba anajiweka yeye mbele kuliko mtu yeyote yani ni furaha yake kwanza kitu ambacho wanaume wengi wa Tanzania hamjazoea so maneno kama hayo lazima tu yatakutoka, mambo yamebadilika sasa hvi unapanda ulichovuna after all ukiona wanawake wana confidence hvo ujue ana hela halafu hana cha kupoteza kwa huyo mume..wanawake wengi sikuhizi tunatafuta mbegu na tunazaa watt tunaoweza kuwatunza sisi its not about you men anymore. Hii issue mpaka wanaume wa kiafrika mzoee itawachukua miongo mengine 5[emoji3][emoji3]
Mbegu unazitafuta wapi?
Mtu simjui aguse hisia zangu?
Usijipe cheo kikubwa hivyo mkuu you’re just a random person
Nilikujibu kwa uzuri tu.,sorry kama umeisoma kitofauti[emoji4]
Oh dear, you're right. I'm just normal random guy. I'm not someone with high status!Mtu simjui aguse hisia zangu?
Usijipe cheo kikubwa hivyo mkuu you’re just a random person
Nilikujibu kwa uzuri tu.,sorry kama umeisoma kitofauti[emoji4]
Hii ndio dawa sio kumnunia sijui kuhama chumba duh
Wanaume jitahidini kusimama kiume
Huwezi kuwa msomi halafu ugombee mume wa mtu.Wewe darasani ulikuwa unaelewa kweli??[emoji28][emoji28][emoji28]
Pitia humu kwenye huu uzi kuna majibu yako yote kama unataka majibu mbona simple
Usilete sport sport sio kila mwanamke anapepesuka na swaga za kishamba ,mara nimekutongoza mara uulize kuhusu mume wangu vipi unataka tu share dudu na Mimi nini mbona unajichosha na mambo yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
KwakweliKwa Mara ya kwanza toka nijiunge jf naona comment ndefu umeandika
😂😂😂😂😂 Nimecheka sanaHapana Surya wewe ni malaika mtakatifu una uwezo wa kuhesabia madhambi ya watu huku wewe ukiwa mweupe kama theluji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Rafiki tuombee sisi wadhambi tufike huko ulipo[emoji1374][emoji1374][emoji1374]
AhahhahahKwa wanaume au huwa zitatafutwa wapi[emoji23][emoji23]
Wanaume wengi mmebaki sperm donors alaf mnajifariji kwa kutukana wanawake kuwaita single mothers.. most are single moms by choice ndo mana mnaona watt wanakuwa wanaishi
Sijaoa.
Uzoefu ninao kupitia maisha yangu binafsi.
Kupitia maisha ya watu wangu wa karibu.
Anyway ...Kuna Jama angu ni Muhandisi wa barabara saizi yupo chin ya TARURA .
Wiki iliopita nmemtembelea wilayani kwake, nikamkuta ana msala huoo wakugonga mke wamtu na mwenye Mke akawa anamtafuta na kumtisha, mara anamwambia nitakuharibia kazi, sijui nikakupeleka kwa DAS mara ninii.... Mpa kipigo mkewe.
Jamaa akaniambia nimshauri, nilimwambia usimtafute huyo demu, akipiga usipokee simu zake, .
Leo ananitumia meseji...MKE wa mtu kawahi saa 12 nyumban kwake asubuh hii ,kumuuliza mbona hapokei simu.,analia machozi, nakuomba msamahaa
. Labda mpaka sasa jamaa keshapigia bao tano.
Huwezi kuwa msomi halafu ugombee mume wa mtu.
Kama unanipenda sema tu Mara nakutongoza Mara tushee dudu.
Katafute kwengine mbona povu Dada kisa tu nimegusia mume wa mtu umewaka hahahah
Mimi mwenyewe mume wa mtu pole sanaaaa
Akili za vijana wa jf..😂😂😂😂U single mama ndio tusi lenu kubwa mpaka hii 2021 kweli??
Tafuteni mengine bana hayo mpaka sisi ambao sio single mama tunayaona ya kiboya
C’mon you can do better than this
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jf idumu.Ulieanza kuniquote ni wewe
Unae ulizia Habari zangu ni wewe
Watu wanasoma wanaona usijifanye unaweza kupinda pinda mambo.Sio povu sema nakupa za uso kuwa mpole usikimbilie kulalamika wanaume wenzio wanakusoma hapa ulianza mwenyewe
Siwezi kuwaka kuhusu mume wa mtu ndio nakuuliza unataka upate Dudu na wewe mbona unanionea uwivu kama nafaidi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una badili mada tu mara umenitosa mara mume wangu
Karibu tuvae shanga pamoja mke mwenza [emoji7][emoji7]
Umevuliwa nguo chutama tu usijibaraguze unajitekenya na kucheka mwenyewe
Mbona wote wamekuuliza hivyo hivyo unakwepa kujibu..?Ulieanza kuniquote ni wewe
Unae ulizia Habari zangu ni wewe
Watu wanasoma wanaona usijifanye unaweza kupinda pinda mambo.Sio povu sema nakupa za uso kuwa mpole usikimbilie kulalamika wanaume wenzio wanakusoma hapa ulianza mwenyewe
Siwezi kuwaka kuhusu mume wa mtu ndio nakuuliza unataka upate Dudu na wewe mbona unanionea uwivu kama nafaidi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una badili mada tu mara umenitosa mara mume wangu
Karibu tuvae shanga pamoja mke mwenza [emoji7][emoji7]
Umevuliwa nguo chutama tu usijibaraguze unajitekenya na kucheka mwenyewe