Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #81
Hivi izo hela wanazotibiwa anatoa nani?Hizi ni kauli za wanaume wasio wawajibikaji badae watoto waki'side na mama zao malalamiko yanaanza. Unakuta baba hajui watoto wanakula nini, hajui wanavaa nini, wakiumwa hajui wanatibiwa vipi alafu anataka watoto wamfurahie. Kaeni vizuri na familia zenu vinginevyo mtaendelea tu kulalamikia wanawake.