Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Inategemea na mahusiano yenu..yaan nisikae na dada yangu kaka yangu mdogo wangu mama yangu baba yangu kisa mwanamke...yaan nmeish nao nusu ya maisha yangu bila ttazo iweje leo niwakatae kisa mwanamke..si ntakua m.senge
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Hzo ni familia za mkoani ndugu yangu.
 
Hata na wewe umesaidiwa na ndugu zako kufikia hapo ulipo.Saidia ndugu zako kwa kila hali kama uwezo upo .kumbuka hakuna mbadala wa ndugu zako.Familia zote zenye kusaidiana hufika mbali kwa MAENDELEO.
 
Hata na wewe umesaidiwa na ndugu zako kufikia hapo ulipo.Saidia ndugu zako kwa kila hali kama uwezo upo .kumbuka hakuna mbadala wa ndugu zako.Familia zote zenye kusaidiana hufika mbali kwa MAENDELEO.

Sikatai mkuu
Nakumbuka sana kaka yangu nilipopigwa alikuja kunisaidia, aliwahi nitengenezea manati nijilinde shuleni
Nakumbuka sana,
Shida hapa ni waligeuza wema kama msumari To stab in my back
 
Inategemea na mahusiano yenu..yaan nisikae na dada yangu kaka yangu mdogo wangu mama yangu baba yangu kisa mwanamke...yaan nmeish nao nusu ya maisha yangu bila ttazo iweje leo niwakatae kisa mwanamke..si ntakua m.senge
Hujanielewa mkuu
 
Mwanamke anaweza kukuacha but mzazi hawezi kukuacha kamwe. Kwahiyo mzazi na ndugu ni muhimu mno.
 
Back
Top Bottom