Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

inategemea lakini...unajua sisi waafrika tunakasumba kuwa mtu akikusaidia anategemea umlipe fadhira sawa ama zaidi ya kile alichokusaidi...

inawezekana pengine kaka yako alitumia gharama zake kukusomesha hadi ukapata kazi
Okay aje athibitishe sasa Kama kweli kalelewa na Kaka yake
 
Mkuu jiandae kufirisika vibaya. Mafanikio yetu mengine huwa yamebebwa na ndugu hasa ukijikuta wewe una ka msingi. Kuna jamaa moja hivyo hivyo ili kusambalatisha ndugu zake aliuza nyumba kabisaa kweli jamaa wakasambaa alipoteza watoto wote kasoro mmoja na aliyenunua hiyo nyumba watoto wake waliishia kuvuta bangi na yeye kutengana na mke wake. Ogopa ndugu unaowalea wewe huwa wamebeba mafanikio yako. Likitimia nistue. Wewe fuata likes za wanafiki wa humu itakula kwako.
Hiyo theory haina ukweli ,ingawa matukio machache Yana weza kufafana na hayo
 
Timuaa mzigo huo uende kwa wenyewe
Lipo moja hapa lilikuja kwa kudai shule zimefungwa ila baadae likageuza kibao kumbe amefeli form 4, tabu inakuja hataki kusomea chochote wala kufanya kazi...hata dukani haendi muda wote miguu juu kwenye Tv na akisikia nimewasha chombo unamuona haraka anafungua mlango na kuingia bila hata kujua unakwenda wapi! Hawa watoto wenu mnapowadekeza ishini nao wenyewe maana hizi ni itikadi za kihanithi sasa!!
 
Ndugu wanawaweza kukugeuza mkatili sio mchezo.
Yaani wanaweza tengeneza image nje huko ukaonekana mbaya si mchezo

Bahati mbaya mume wangu anawasikiliza sana ndugu zake.yaani ni wazembe wadogo zake na mmoja ana tabia ya wizi,,
Kaka yake anamkania mwaka jana kaiba bajaj mpyaaa...tumejua mwaka huu..kaka yake ndo akili imeanza kumjia yaani mdogo wake ana mtia aibu hapa mtaani balaa.
Yaani ni stor ndefu inahitaji uzi.
Ila ukiambiwa jambo either na mkeo au na wananzengo kuhusu nduguzo..FANYA UCHUNGUZI kimya kimya sio kila mara ni chuki
Wewe unaweza kuishi na mdogowako hapo kwako?
 
Na katika huu uzi utapata sana wachangiaji wa upande wa kike wakiunga hoja mkono maana wanawake wengi walioolewa hawapendi kuishi na ndugu wa mwanaume. Lakini utakuta wadogo zake au ndugu zake wanakaa fresh tuu maisha yanasonga.anyway ndo maisha yalivyo.
 
Wewe unaweza kuishi na mdogowako hapo
Wewe unaweza kuishi na mdogowako hapo kwako?
Yoyote yule hata kama sio ndugu naishi nae ila anafata miongozo na kanuni za nyumba hii.sio binti mkubwa kwa kuwa wewe ni mdogo wangu hausgel akufanyie kaz wewe umelala.na mengi kwa wakiume na wakike yaan uwez ingia kwangu umelewa au unagonga nikufungulie usiku kwa kuwa wewe ndugu yangu HAPANA
 
Na katika huu uzi utapata sana wachangiaji wa upande wa kike wakiunga hoja mkono maana wanawake wengi walioolewa hawapendi kuishi na ndugu wa mwanaume. Lakini utakuta wadogo zake au ndugu zake wanakaa fresh tuu maisha yanasonga.anyway ndo maisha yalivyo.
Point yangu haibase huko.yaan ukitaka hata Mungu akibariki ishi na wote kwa muongozo sawa.usifumbie macho ujinga wala usionee
 
Tangu nikiwa mdogo nilipoanza kujielewa tu nilikua napunguza relationship kwa ndugu yeyote anayeoa au kuolewa....kifupi popote kwenye ndoa hua nahisi kama nipo jela as siwezi kuwa comfortable mpaka sasa nina umri mkubwa,ni bora nilale guest hata kama kwa mtu kuna chumba na nimeenda safari...ndoa pekee ambayo niko nayo comfortable ni ya Baba na Mama tu...
Hongera kwao wenye guts za kuishi kwa ndugu wenye ndoa..nahisi wanapokea vipande vyao humu maana michango ya mabachelor kwenda kwao imekua nadra sana.
 
Inategemea familia, Kama familia m aishi kwa upendo mnakaa vizuri tu, ila kujua mapunguvu ya ndugu yako ukaishi nayo wala haina shida
 
Na katika huu uzi utapata sana wachangiaji wa upande wa kike wakiunga hoja mkono maana wanawake wengi walioolewa hawapendi kuishi na ndugu wa mwanaume. Lakini utakuta wadogo zake au ndugu zake wanakaa fresh tuu maisha yanasonga.anyway ndo maisha yalivyo.
Hilo Lina ukweli pia
 
Inategemea familia, Kama familia m aishi kwa upendo mnakaa vizuri tu, ila kujua mapunguvu ya ndugu yako ukaishi nayo wala haina shida
mapungufu yake sio shida hata mimi ninayo ya kwangu
Shida ni kunipakazia mimi uhuni na ubaya
 
Tangu nikiwa mdogo nilipoanza kujielewa tu nilikua napunguza relationship kwa ndugu yeyote anayeoa au kuolewa....kifupi popote kwenye ndoa hua nahisi kama nipo jela as siwezi kuwa comfortable mpaka sasa nina umri mkubwa,ni bora nilale guest hata kama kwa mtu kuna chumba na nimeenda safari...ndoa pekee ambayo niko nayo comfortable ni ya Baba na Mama tu...
Hongera kwao wenye guts za kuishi kwa ndugu wenye ndoa..nahisi wanapokea vipande vyao humu maana michango ya mabachelor kwenda kwao imekua nadra sana.
Kweli kabisa Mtu akishaoa huyu sio ndugu tena
 
Kabisa, shida haziishi, mizozo haiishi, mke atasemangwa mpaka atajuta kuolewa nawe, waweza pata msongo wa mawazo mpaka ukakatisha uhai wako, ndugu wala hawana habari, wao kama mbu, kupe na chawa..
 
Familia ni baba, mama, na watoto. Baba kama kichwa cha nyumba angalia familia yako, wengine wana familia zao, wanafanya nini kwako??Sidharau mila zetu Ila tuige wazungu ili tulinde familia zetu. Mf. Wewe mgeni umekuja"karibu sana" then!utakaa siku ngapi??
 
We jamaa ww sas wakija kusoma labda kwko ndo karibu na shule au chuo mgen anpotaka kusoma inakuaje alafu ww ndo ndgu pekee ulyepo eneo hilo?!!
 
Back
Top Bottom