machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,334
- 5,326
Bora mtu uishi na familia yako tu!
Kila mtu apite zake hivi
Kila mtu apite zake hivi
Mkuu tafuta historia yangu niloshaiweka wazi pale MMU uelewe ..Hii story itakuwa Chai tupu, yaani una miaka 26 watoto wako wameshamaliza darasa la Saba?
Tu-assume watoto walianza darasa la kwanza wana miaka 5, hivyo wamemaliza darasa la Saba na miaka 12, hivyo uliwazaa na miaka 14.
Hii ni
View attachment 1705200
Mkuu una uhakika miaka yangu ya kweli ni 26?Umetudanganya mkuu,
Huwezi ukawa na Miaka 26 afu ukawa na watoto wawili waliomaliza darasa la saba na kufaulu.
View attachment 1705230
Pamoja mkuu!!Sawa mkuu yaishe ,tusifike mbali Ila tuwapende sana wake zetu na kuwaheshimu...mfano mimi niliumwa sana week iliyoisha na kama asingekuwa huyu mke wangu sijui ingekuwaje..
Nadhani hujaelewa vizuri mkuu pita vizuriWewe kweli mtoto na dunia haijakufunza bado!
Wakati tunakua, baba yetu alikuwa anawalea watoto wa dada yake mpaka wamesoma wakawa madaktari.
Baba yao alifariki na kuwaacha wadogo sana.
Laiti angekuwa na roho chafu kama yako, hawa watoto wangeishia kuwa makahaba na wazururaji tu.
Fedha kiduchu unabweka kama jibwa koko!
Si ajabu mkeo anaficha nyama uvunguni!
Asante kwa pole uzuri bado niko yanki ndo naanza 40. Mungu akiniweka hai at 60 nitakuwa na maendeleo ya kutosha sana. Niko na mke na wanangu tuuuuuuu sitaki makandokando mengineHapo hata mkeo hukuwa unamjali, unamweka kama akiba vile [emoji3], ndugu wakifanikuwa wanaenda kuanzisha maisha yào halafu wewe unabaki umepanda kidonda kwa mkeo, fanya majukumu kwa ndugu lakini kuwe na kiasi na mke pia ana nafasi yake kwako, nikupe pole kwasababu ungali hai anza upya.
Jf siku hizi mada za kutunga zimekua nyingi ......hivi vitoto vya facebook na insta vimevamia huku shida tupu........mada za upande huu kwa sasa sio za kuzipa uzito kivile maana wengine wanakuja tu kuchezea sharubu watu wazimaHii story itakuwa Chai tupu, yaani una miaka 26 watoto wako wameshamaliza darasa la Saba?
Tu-assume watoto walianza darasa la kwanza wana miaka 5, hivyo wamemaliza darasa la Saba na miaka 12, hivyo uliwazaa na miaka 14.
Hii ni
View attachment 1705200
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti simbirisi haa haa haa hatari sanaWakuu nadhani kuna baadhi hawajanielewa kabisa
Mimi siwachukii ndugu zangu kabisa tena ni kaka zangu tumbo moja ...tumesadiana sana hasa udogoni walinisaidia sana pale nilipopigwa na watabe shuleni na mtaani ,kuwinda ndege na mengine mengi Mimi ndo wa mwisho
Ndo maana niliwachukua hao mabinti wawili wa hao kaka zangu na kuwasomesha mpaka wamemaliza la 7 lakini shida wameianza wao kunisimanga chini chini wakiweka vikao huko na kusema kuwa watoto sijawasomesha shile nzuri kama wanangu wawili ..!
Nimekosea wapi ikiwa
Shule walisoma moja
Nguo kama mpya walivaa wote
Chakula walikula hicho hicho ambacho walikula na watoto wangu
Kulipokuwa na shida shuleni niliitwa Mimi na nilijitambulisha kwa mwalimu mkuu kuwa hao wanne wote ni watoto wangu..! Nimefanya ubaguzi gani hapo?
Yule kaka yangu alipokuja akanza kudai yote kuwa nimesababisha watoto wao wafeli cha ajabu miaka yote hakuwahi hata kuuliza kuhusu hata maendeleo ya mwanae ..niliyabeba malezi yote
Na mama p wangu aliwapenda sana sana
Ilifikia hatua wale watoto wakaanza uadui wa chini chini na wanaangu pale pale nyumbani ..! Wamewazilia eti wanaongea na baba yao tu ..( kaka yangu japo mtoto mmoja ni wake )
Ilifikia hatua akaanza kuwakoromea watoto bila sababu (wangu)
Siku nyingine alitaka kumchapa paulina wangu kisa ameshika remote..!
Yaani nimelea shahawa za watu miaka yote hiyo then anakuja kunirushia mateke namna hiyo mpka wazazi na mzee wangu ni mbogo kweli aliwahi kunishikia panga udogoni kisa nilipoteza mbuzi wake.
Sasa nimeamua kama mbwai na iwe mbwai nimefanya hisani kwake mbona Dada zangu na kaka wengine hawana mambo hayo? Au nao wananisimanga chini chini?
Mke yeye hata mama yangu anampenda sana tu tumetoka huko shuleni nikampaga ujauzito nikaoa mapema sana .ana nipenda na anapenda ndugu zangu sana
Ila hao pimbi wengine nimewatimua na sitegemei warudi tena niwasamehe
Huyo pimbi mkubwa na wanae simbirisi wadogo sitowatafuta tena...
Mkuu unatenda wema unaenda zako binadamu hana shukraniNi watu wazima kabisa hao lakini wanafanya msaada uwe kama lazima na nimesaidia lakini bado naonekana nna roho mbaya. Ufala!
[emoji23][emoji23][emoji23]unaota wewe nenda pale tanroad ulizia sabas matemu jibu utakuwa nalo nina miaka 26 na pesa ipo kuliko aliyokuwa nayo baba yako usinione hapa jf ukadhani tunafanana budaBado uko kwa shemeji Mkuu? Amka kumekucha.
Hapo sasa, eti unayejifunika naye shuka moja usimpe kipaumbele kisa atakubadilikia siku moja? vitu vingine vinachekesha anaye mpikia na kumfanyia shughuli zote, wake zao wanapata changamoto sana.Nadhani kipengele cha biblia kinacho zungumzia kupatana kwanza na ndugu ni kabla ya kufanya matoleo (sadaka) Mathayo 5:23-24 na si kuhusiana na ndoa/mke.
Kwa nini ufikirie kuwa mwanamke atakubadilikia? Kwa hiyo nisimpende/kumjali mke wangu kisa kuna watu wamebadilikiwa na wake zao? Na mbona huzungumzii waliobadilikiwa na ndugu zao pia?
Ubarikiwe sana wewe na mkeo katika ndoa yetu.Pamoja mkuu!!
Kiukweli mke anabeba majukumu mengi sana na mazito, na wengi wameishia kulipwa manyanyaso na waume ama ndugu wa waume zao ikiwemo lawama hata za uongo.
Wapo baadhi wenye changamoto ni kweli, lakini isiwapore nafasi zao kwenye ndoa. Huku zikitumika namna nyingine za kutatua changamoto zinazojitokeza, tuendelee kuwapenda na kuwajali wake zetu.
Ameen mkuu, barikiwa pia!!Ubarikiwe sana wewe na mkeo katika ndoa yetu.
Amen kubwaAmeen mkuu, barikiwa pia!!
Entitlement mentality ,sijui Kwa nini haswa wanakuwa hata hamna shukurani .Kitu kimoja nimestukia ukimsaidia tu Leo anarudi tena in a week na tena tena .Uki stop tu wananuna maneno .Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.
Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.
Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.
Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.
After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.
Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.
Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.
Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.
Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.
Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.
Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu
Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Sijui kwa nini inakuaga hivi wakati mwingi au ndio ile kwamba binadamu hana jemaSio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.
Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.
Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.
Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.
After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.
Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.
Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.
Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.
Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.
Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.
Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu
Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Poleni sana, hapo shemejio atakuwa anasema vibaya kuwa kamshika masikio kaka yenu, ila kama wewe upo upande wa kaka yako watie moyo, bimkubwa mwacheni tu siku akisema naenda kumsalimia kwa wanaye wakike msimzuie akienda huko mtasikia tu mbiyu!Nakubali. Kuishi na ndugu hata uwe mwema kama malaika, maneno hayatakosa.
Mimi kaka yangu kosa alilolifanya ni kuruhusu mama aishi kwake. Japo maza naye ana kwake. Ila kwa kuwa walitengana na mzee kabla ya mzee kufariki, na hata baada ya kufariki mzee alikua na upweke sana. Kuumwa mara kwa mara. Mkienda hosp hakuna kitu. Etc. Ila tangu aliivoanza kuishi kwa bro, haumwi umwi tena. Wajukuu wamemzunguka muda wote anacheza nao. Mjukuu mwingine yeye daily anataka kulala chumbani kwa bibi yake. Basi raha mustarehe na mama haumwi umwi tena.
Sasa nakuja kusikia maneno kila kukicha huku na kule kuwa bro namnyanyasa na hamjali maza. Masista ndio kila kukicha.
Mara bro kashikwa akili na mke wake. Mara msichana wa kazi wa bro ana mdharau mama.
Hapo, maza kuna vyakula hali kwsbb za kiafya. Basi daily anaulizwa leo utakula nini na wanampikia anachotaka. Sasa maneno yameibuka mara mama hapewi hela ya chakula chake maalum, mara anawapigia simu ndugu kuomba hela na lawama zinarudi kwa bro.
Juzi kati nimewabalasa masista walivoniletea hizo mada. Nikawambia anayeona bro hamjali mama aende akamchukue akae naye. Na pia kama ni hela kila mtu atume hela kwa mama yake kadri anavyoona inafaa..
Bro kuna siku alisikia maneno yanayosemwa juu ya yeye kumnyanyasa maza amkuwa disappointed sana. Kifupi mimi ndio nimekua kimbilio lake. Namwambia asijali ndio maisha. Maneno yapo tu.
Huyo kaka na ndugu zake ni washamba sana.Tuletee mresho kama ulisha kaa na ndg ili tuamini uacho kiongea
We unasema hvo uwelewi wewe ndy
kuna rafikia angu alikuwa ameolewa kila siku alikuwa ni kulia na ndg wa mume,
Kbla hajaolewa mwanaume wake hakuwa na chochote kbsaaa, alikuwa ni mfanya kazi kwenye kampun moja inajiusisha na mambo ya fedha, mwanaume ana miaka 7 kazin na analipwa mshahara 1m lakin ata kiwanja hana
Kwa miaka saba yote hyo alikuwa akisomesha ndy zake wawili wakike na wakiume tena seminal,
Wa kike kufika form 2 akabeba mimba, akaacha shule akawa mtu wa nyumban na aliye mpa mimba akamtelekeza kaka ake ndo akawa mtoa matumizi tena kwa mtoto
baadae akaenda kumununulia mama yake kiwanja na kumjengea nyumba ya vyumba 4 na seble
Huyu wa kiume alipo maliza form 4 akafel kaka mtu akatafuta chuo,akalipa ada mdgo mtu asome matokeo yake dogo akasoma miezi 2 kaacha chuo akadai atafutiwe chuo kingine kaka mtu akatafuta pamoja na mama yake
Siku zikaenda mama mtu akaenda kukopa mkopo bank wa 25 akaandika nyumba aliyo jengewa na mtoto na ule mkopo alikuwa ameenda kumkopea bwana ake ambaye alimshawishi akakope afungue biashara, pasioo kufikilia na yeye akakenda kukopa
Kilicho tokea baada ya mwaka den limewashinda kulipa bank wamepiga mnada nyumba
Ajakaa sawa mtoto wa dada ake anataka kusoma yeye ndo mlipaj wa ada
Mama na dada mtu baad ya nymba kupigwa mnada wakaenda kupanga dada mtu hataki kufanya kazi, kaka mtu ndo mtoa matumizi kuanzia kula mpka mavazi
Timbwili lilikuja baad ya jamaa kuoa, kipindi anafanya yote hyo alikuwa amepanga chumba kimoja tena ata kijiko hana ana kitanda na godoro tu
dada wa watu akawa mtu wa kumshauri mume wafanya kazi wenzie wote wamejinga wana magari yeye wala ata
Kibaya zaidi ukimshauri kuhusu ndg ndo mnagomban kabsaaaaaa
Baadae wakajikwamua wakapanga chumba na seble, na hapo ndipo alipo amua kumlete mtoto wa dada ake na mdgo ake wa kiume
Hapo ndo ndoa ilipo vunjika kaka aaambiliki kuhusu ndgze wanamchongea mkewe kwake akirudi ni kupiga mke na kumtukana matusi
Dada wa watu yakamshinda akaamua kula mitar baada ya miezi 3 jamaa akaachwa kazi saa hv yupo yupo tu ata haelewiki