Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Mbona unanizeesha mkuu? Nilipozeeka hapa panatosha
Nina miaka 26 tu hapa yeye ana miaka takriban 34 nimpangie nyumba? Unadhani basi hana hela? Anazo sana ila starehe hata mkewe walishaachana ...sababu hiyo anachimbaga madini yule

Hao watoto Mimi siwajui tena nimebaki baba mdogo jina ,niliwapenda ,kuwajalj nikawaona kama watoto wangu kama bao langu..!

Walichonfanyia ni sawa?
Nkmekuwa kama mzeee wakati hata 30 sijafika sababu yao?
Nikiwaona tena kwangu nitawafungulia hata mambwa
Umetudanganya mkuu,

Huwezi ukawa na Miaka 26 afu ukawa na watoto wawili waliomaliza darasa la saba na kufaulu.
JamiiForums-1892811747.jpg
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?

Hongera kwa kuchukua maamuzi ya kiume [emoji123]. Ndugu wasaidie kwa mbali tu, hupaswi kuwaleta kwako
 
Wakuu nadhani kuna baadhi hawajanielewa kabisa
Mimi siwachukii ndugu zangu kabisa tena ni kaka zangu tumbo moja ...tumesadiana sana hasa udogoni walinisaidia sana pale nilipopigwa na watabe shuleni na mtaani ,kuwinda ndege na mengine mengi Mimi ndo wa mwisho

Ndo maana niliwachukua hao mabinti wawili wa hao kaka zangu na kuwasomesha mpaka wamemaliza la 7 lakini shida wameianza wao kunisimanga chini chini wakiweka vikao huko na kusema kuwa watoto sijawasomesha shile nzuri kama wanangu wawili ..!
Nimekosea wapi ikiwa
Shule walisoma moja
Nguo kama mpya walivaa wote
Chakula walikula hicho hicho ambacho walikula na watoto wangu
Kulipokuwa na shida shuleni niliitwa Mimi na nilijitambulisha kwa mwalimu mkuu kuwa hao wanne wote ni watoto wangu..! Nimefanya ubaguzi gani hapo?

Yule kaka yangu alipokuja akanza kudai yote kuwa nimesababisha watoto wao wafeli cha ajabu miaka yote hakuwahi hata kuuliza kuhusu hata maendeleo ya mwanae ..niliyabeba malezi yote
Na mama p wangu aliwapenda sana sana

Ilifikia hatua wale watoto wakaanza uadui wa chini chini na wanaangu pale pale nyumbani ..! Wamewazilia eti wanaongea na baba yao tu ..( kaka yangu japo mtoto mmoja ni wake )

Ilifikia hatua akaanza kuwakoromea watoto bila sababu (wangu)
Siku nyingine alitaka kumchapa paulina wangu kisa ameshika remote..!

Yaani nimelea shahawa za watu miaka yote hiyo then anakuja kunirushia mateke namna hiyo mpka wazazi na mzee wangu ni mbogo kweli aliwahi kunishikia panga udogoni kisa nilipoteza mbuzi wake.

Sasa nimeamua kama mbwai na iwe mbwai nimefanya hisani kwake mbona Dada zangu na kaka wengine hawana mambo hayo? Au nao wananisimanga chini chini?
Mke yeye hata mama yangu anampenda sana tu tumetoka huko shuleni nikampaga ujauzito nikaoa mapema sana .ana nipenda na anapenda ndugu zangu sana

Ila hao pimbi wengine nimewatimua na sitegemei warudi tena niwasamehe
Huyo pimbi mkubwa na wanae simbirisi wadogo sitowatafuta tena...

Kweli umekasirika mkuu
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?

Hii ni roho ya kimaskini tuu inakusumbua,yani uvunje undugu wa damu kisa vipande vya fedha,we jamaa utakua mtu wa ovyo sana na wanaokusupport hapa pia ni wa ovyo tuu,kaa mwenyewe meditate for at least 20-30 minutes utaona pros and cons za hayo maamuzi ya kibwege and Im sure you will change for the better
 
Kwanza naomba uelewe sjna moyo wa kuvumilia upumbavu kama huo
Pili nina huruma sanaaa niliwahi kuuza baskeli yangu shule nikamsaidia jamaa apate nauli kurudi kwao..imagine

Sasa aliefanya hayo hajutii ila Mimi mtendwa nijutie?

Mama p aliwahi ni cheat lakini ni kawaida ya mahusiano wewe una uhakika hapo mkeo ugongewi nje?
Nilishakataa kukaa na ndugu wa mke wangu home wanakuja kusalimia tu basi na wenyewei uzuri wanajielewa
Huyo mbuzi kwanza huwaga ananikandia tu hata niliponunua kiwanja kabla ya kujenga alianza kuniponda
"Unanunua kiwanja unadhani kujenga rahisi" unaiga maisha" unaonaje hapo?

Piga chini ***** mbona ndugu zangu kaka na Dada wengine hawapo kama yeye?

Huyo anakuchukulia poa sana, acha akatafute maisha yake huko mbele ya safari
 
Siku mkifa, hao watoto wenu muende nao makaburini pia.

Msituletee.
 
Ngoja nikaangalie link ya ule uzi kwa nini waarabu wanaishi kama ukoo nyumba moja😆😆
 
Wewe uliskia wapi?
Nimesomeshwa na baba yangu mpka kidato cha NNE advance nilijilipia mwenyewe ,chuo nimeishi kwa kupitia bodi ya mikopp
Wewe kweli mtoto na dunia haijakufunza bado!

Wakati tunakua, baba yetu alikuwa anawalea watoto wa dada yake mpaka wamesoma wakawa madaktari.

Baba yao alifariki na kuwaacha wadogo sana.

Laiti angekuwa na roho chafu kama yako, hawa watoto wangeishia kuwa makahaba na wazururaji tu.

Fedha kiduchu unabweka kama jibwa koko!

Si ajabu mkeo anaficha nyama uvunguni!
 
Mimi hii kitu ilinigombanisha sana na ndugu zangu.Kuna mtoto wa kaka yangu alifauru kaka angu akawa km vile mzito kumsomesha mm nikaona subiri nimsomeshe maana hujui ni nani atakusaidia nikayabeba majukumu dogo akawa yuko poa sana anashika nafasi nzuri darasani yaan top 5 hatoki nje ya hapo.Hapo hata mm nikawa na moyo wa kupambana amalize 4 sasa kafika form 4 akaanza tabia ya kishenzi si kijamaa kimoja kipuuzi kikamjaza mimba aisee iliniuma sana maana km ni kumsema nilishamwambia sana soma mwanangu haya mambo ya mapenzi utayakuta tu huko ukubwani ila kwanza ukiwa umesha soma .Ndugu walikua juu eti mm namalezi mabaya nilikua namdekeza sana ndo maana kapata mimba.Tangu hapo nikasema siji somesha mtoto wa ndugu aliye hai labda yatima maana nilisemwa mpaka basi.
 
Ulikashtaki hako kajamaa?
 
Hapo kwenye kutimua na kufumusha na pumbavu sana ndo umeniacha hoi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kiufupi nimekukubali kbsaa ndg lawama..
Hyo kauli uielewa wenye hakiri timamu lakn vilalu lalu watoto wa mama uwaambii kitu kwa ndg zao [emoji849]

Yaan mtu yuko radhi abadili wanawake kila mwaka ili kuwalizisha ndg zake....

#ndoayatakaakirisana..
 
Back
Top Bottom